ZANZIBAR YAANZA MATAYARISHO YA UZINDUZI WA JUMUIYA YA MARADHI YASIYOAMBUKIZA
Mratibu wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Omar Abdallah Ali akitoa muhtasari wa majukumu ya Jumuiya yao kwa Wandishi wa habari hawapo pichani katika Ofisi yao Mpendae Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Ali Mansour Vuai akielezea matayarisho ya Uzinduzi wa Jumuiya yao utakaofanyika Machi 1 katika Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar
Baadhi ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SblgtZdtBDM/UxM9ioPuldI/AAAAAAAFQh4/Nj3s0F2F31I/s72-c/unnamed+(88).jpg)
JUMUIYA YA MARADHI YASIOAMBUKIZA (ZNCDA) YAZINDULIWA RASMI ZANZIBAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-SblgtZdtBDM/UxM9ioPuldI/AAAAAAAFQh4/Nj3s0F2F31I/s1600/unnamed+(88).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-LR63lz1oMWo/UxM9isU3BBI/AAAAAAAFQh8/AN2U1rrtxEU/s1600/unnamed+(89).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Z-oBiAaW27Y/UxM9iqbOb1I/AAAAAAAFQiE/EOH2KiNOjyM/s1600/unnamed+(90).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-bFThaNQIGIo/UyQztTfMy0I/AAAAAAAFTlU/OMicOCwHsAs/s72-c/unnamed.jpg)
UZINDUZI WA MTANDAO WA JUMUIYA YA FAWE ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-bFThaNQIGIo/UyQztTfMy0I/AAAAAAAFTlU/OMicOCwHsAs/s1600/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-c87V2Nujzsg/UyQzvpoFbuI/AAAAAAAFTlc/asaydzrGfRc/s1600/unnamed+(3).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-lykDtGNlHVw/UyQzwxxxdAI/AAAAAAAFTlk/94EyJ_2QoMo/s1600/unnamed+(4).jpg)
9 years ago
StarTV02 Dec
Kampuni ya Sasumua yaanza matayarisho ya uchimbaji Madini Ya Graphite Handeni
Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Sasumua Holding imegundua uwepo wa kiasi kikubwa cha madini ya Graphite katika kata ya Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga.
Tayari kampuni hiyo imeshaanza kuingiza vifaa vya kisasa vya uchimbaji nchini ili ifikapo mwezi Februari mwakani wawe tayari wameshaanza kazi ya uchimbaji.
Kata ya kwamsisi ipo katika wilaya ya Handeni Mkoani Tanga,ndani kata hii yamedundulika madini ya Graphite ambayo hivi punde yataanza kuchimbwa.
Wananchi wanaoishi katika kata...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar14 Oct
Sauti:Matayarisho ya uchaguzi Zanzibar
Salma Said, Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewaita wadau wa uchaguzi kuwaeleza ukamilishaji wa taratibu za uchaguzi ambazo zinakaribia kufikia ukingoni mnamo Octoba 25 mwaka huu, huku masuali kadhaa ya khofu na kasoro za uchaguzi huo […]
The post Sauti:Matayarisho ya uchaguzi Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-6S3pE0zB8Ek/VNESKXWlycI/AAAAAAABkFA/upaJmeR2bdc/s72-c/330.jpg)
MATAYARISHO YA UJIO WA RAIS WA SHIRIKISHO LA UJERUMANI ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-6S3pE0zB8Ek/VNESKXWlycI/AAAAAAABkFA/upaJmeR2bdc/s640/330.jpg)
Kushoto ya Balozi Seif ni Mshauri wa Rais anaesimamia Uchumi, Uwekezaji na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Moh’d Ramia na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Nd. Abdulla Juma Abdulla.
![](http://2.bp.blogspot.com/-s-KB_zNV7LU/VNESJHAK8ZI/AAAAAAABkEw/g9JWlKXxmRI/s640/333.jpg)
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATOA ELIMU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA WAANDISHI WA HABARI
9 years ago
MichuziJUMUIYA YA MAAFISA AFYA ZANZIBAR YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VIFAA TIBA, KAMBI YA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU CHUMBUNI ZANZIBAR.