Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA MTANDAO WA JUMUIYA YA FAWE ZANZIBAR

 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akizindua Mtandao wa  Blog ya  Jumiya ya Fawe Zanzibar katika ukumbi wa Chuo  Kikuu cha Zanzibar SUZA leo asubuhi,(kulia) Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Khadija Ali Mohamed   Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipozungumza na wanachama na wananchi katika uzinduzi wa Mtandao  wa Fawe Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akimkabidhi cheti  Bi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAANZA MATAYARISHO YA UZINDUZI WA JUMUIYA YA MARADHI YASIYOAMBUKIZA

 Mratibu wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Omar Abdallah Ali akitoa muhtasari wa majukumu ya Jumuiya yao kwa Wandishi wa habari hawapo pichani katika Ofisi yao Mpendae Mjini Zanzibar.  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Ali Mansour Vuai akielezea matayarisho ya Uzinduzi wa Jumuiya yao utakaofanyika Machi 1 katika Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar  Baadhi ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi...

 

9 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA MAAFISA AFYA ZANZIBAR YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VIFAA TIBA, KAMBI YA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU CHUMBUNI ZANZIBAR.

 Katibu wa Jumuiya ya Maafisa Afya Zanzibar Ahmed Suleiman akinawa mikono mara tu alipotoka  kwenye wodi za wagonjwa wa Kipindupindu. Picha ya pamoja ya wanajumuiya ya Maafisa Afya Zanzibar na wauguzi wa kambi ya Kipindupindu Chumbuni.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

uzinduzi wa kituo cha taarifa katika maktaba ya Jumuiya ya Afrika mashariki, Arusha

 Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Samuel Sitta akiangalia vitabu katika maktaba ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kabla ya kushuhudia uzinduzi wa kituo cha taarifa katika maktaba hiyo.  Naibu Waziri Wizara ya Fedha Mhe. Adam Malima akiangalia vitabu katika maktaba ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kabla ya kushuhudia uzinduzi wa kituo cha taarifa katika maktaba hiyo.   Mawaziri kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wanaoshughulikia masuala ya Jumuiya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Profesa Jay, Sugu wafunika uzinduzi CHADEMA Mtandao

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, juzi uusiku alikonga nyoyo za waalikwa na Wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika uzinduzi wa ‘CHADEMA...

 

9 years ago

Michuzi

MTANDAO WA WANAWAKE WAHITIMISHA TAMASHA LA UZINDUZI WA ILANI YA UCHAGUZI LEO JIJINI DAR

 Mkurugenzi Mtendaji wa  Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi akizungumza na wananchi juu ya kutambua michango ya kimaendeleo inayofanywa na wanawake kwa kuwawekea kumbukumbu kama ilivyo kwa wanaume, ili kuleta uwiano wa kijinsia leo Jiji Dar es Salaam katika kilele cha tamasha la Jinsia. Mkurugenzi Mtendaji wa  Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi akiteta jambo na Ruth Meena. Wanawake wakitaja baadhi ya matatizo ambayo yanayowakabili ni pamaoja na suala la...

 

9 years ago

Mtanzania

Jumuiya za Kiislamu Zanzibar zapinga kurudiwa uchaguzi

jechaNa Mwandishi Wetu, Zanzibar

JUMUIYA ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) pamoja na Taasisi za Kiislam Zanzibar zimepinga kurudiwa kwa uchaguzi visiwani humo, kwa hoja kwamba hazioni busara yoyote ya kurejewa kwa Uchaguzi Mkuu Zanzibar kwa sababu ule wa awali ulifanyika kwa ufanisi na kukamilika vizuri.

Katika waraka wao walioutoa kwa vyombo vya habari jana, viongozi hao wa dini, walisema wanashangazwa na hatua ya kufuta uchaguzi huo iliyochukuliwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),...

 

10 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA VIJANA WASIO NA AJIRA YAZINDULIWA ZANZIBAR

Mratibu wa Jumuiya ya Vijana wasio na ajira Tanzania Nd. Ussi Said Suleiman akitoa maelezo kwa Baadhi ya Vijana wasio na ajira waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Water front Hall Rahaleo Mjini Zanzibar. Baadhi ya Vijana waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya mpya ya Vijana wasio na ajira Tanzania, wakimsikiliza Mratibu wa Jumuiya hiyo Nd. Ussi Said Suleiman (hayupo pichani). Mmoja wa Vijana wasio na ajira Zaituni Haji Mdigo ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani