KAMPUNI YA STARTIMES YA ZINDUA BUNDESLIGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-u7WrXmtJRzs/Vcgcy3TRkrI/AAAAAAAASOM/OO7AxyOWmDk/s72-c/1.jpg)
Mkurugenzi wa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Leonard Thadeo akipiga mpira kuelekea golini kwa mlinda mlango, Maulid Kitenge ambaye ni mtangazaji wa kituo cha redio cha EFM kuashiria uzinduzi rasmi wa ligi ya Ujerumani, Bundesliga itayorushwa moja kwa moja kupitia ving’amuzi vya StarTimes nchini. Wanaoshuhudia tukio hilo lililofanyika makao makuu ya kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wa kwanza kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Aug
Uhondo Bundesliga kuanza leo Startimes
LIGI Kuu ya Ujerumani Bundesliga inaanza leo na kwa Tanzania itaonyeshwa moja kwa moja kupitia king’amuzi cha Startimes.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-MDHySMQXikU/VKtOQyrhxRI/AAAAAAAC_DM/inYMp8Y-V0c/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-01-06%2Bat%2B02.52.49.png)
YAMOTO BAND YA ZINDUA VIDEO YA WIMBO WA "NITAKUPWELEPWETA" NDANI YA MAISHA CLUB
![](http://3.bp.blogspot.com/-MDHySMQXikU/VKtOQyrhxRI/AAAAAAAC_DM/inYMp8Y-V0c/s1600/Screen%2BShot%2B2015-01-06%2Bat%2B02.52.49.png)
Siku ya Jumapili ya tarehe 4 January 2015 yamoto band walifanya uzinduzi wa video yao mpya inayokwenda kwa jina la Nitakupwelepweta ndani ya new maisha club.
![](http://3.bp.blogspot.com/-tkzTwTfNxvc/VKtM2tTClGI/AAAAAAAC_Bs/X3PTjKmKm9Q/s1600/Screen%2BShot%2B2015-01-06%2Bat%2B02.41.58.png)
Show ilikuwa balaaa na kama ilivyo kawaida yake Mlezi na mkurugenzi Mkuu wa kikundi hindo Said Fella aka Mkubwa Fella kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika haya machache kuwashukuru wadau waliohudhuria uzinduzi huo"Shukran sana kwa wote mliojitokeza kuwasupport vijana wetu Yamoto_Band pale Maisha_Club jana... hakika bila nyinyi...
10 years ago
GPLSHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LA ZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA
10 years ago
VijimamboSHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LA ZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA SOKONI
9 years ago
Dewji Blog25 Sep
Tuzungumzie Bundesliga
Hata kama si mpenzi wa soka, ni lazima utakuwa umewahi kusikia majina ya vilabu vikubwa barani Ulaya kama vile Bayern Munich na Wolfsburg Germany. Hivi ni vilabu vikubwa vinavyoshiriki ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga.
Habari hii si kuhusu vilabu wala uchambuzi wa kisoka, lakini ni kuhusu jinsi unavyoweza kuitazama.
Katika pitapita zangu nimekutana na hii application, inaitwa Tenbre inatolewa na Startimes BURE. Unaweza kujiuliza, kuna uhusiano gani kati ya hii Tenbre na...
9 years ago
TheCitizen02 Nov
Why VPL must learn from Bundesliga
9 years ago
Dewji Blog02 Oct
Msimamo wa LIGI kuu ya Ujerumani — Bundesliga
Ratiba ya michuano ya soka nchini Ujerumani maarufu kama Bundesliga bado inaendelea. Leo saa 9:30 kutakuwa na mnyukano mkali kati ya Darmstadt 98 inayoshikilia nafasi ya tisa na Mainz 05 inayoshikilia nafasi ya kumi na mbili. Bayern Munich bado wanaongoza msimamo wa ligi wakiwa na point 21.
Kwa hapa nchini unaweza kufuatilia michano hii ukiwa na king’amuzi cha Startimes pekee. Lakini kama wewe si mteja wao usitie shaka, kuna njia mbadala unayoweza kutumia kutazama LIVE michuano hii kupitia...
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Ipi kali? Bundesliga, Serie A au Premier League
Mchezo wa soka ndio wenye mashabiki wengi zaidi duniani. Kati ya mashindano makubwa yanayopendwa zaidi ulimwenguni ni ligi mbalimbali zinazochzwa barani Ulaya. Kwa nafasi yako, je ni ipi ligi kabambe zaidi kati ya hizi? Je ni Premier League ya Uingereza? Au ni Bundesliga ya Ujerumani au ni ile Serie A ya Italia?
Kila mmoja wetu atakuwa na mtazamo na mapenzi tofauti juu ya hilo, lakini jambo moja linabaki wazi, wote tungependa kutazama mpira barani Ulaya, tena ikiwezekana BURE, bila kulipia...
5 years ago
BeSoccer EN25 Mar
Bayern Munich and other Bundesliga clubs take pay cut