KAMPUNI YA VIP YAFAFANUA SAKATA LA IPTL
 Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea James Rugemalira akizungumza na waandishi wa habari pamoja na jopo la wanasheria kutoka Marekani (hawapo pichani kuhusu jambo hilo Dar es Salaam jana.  Mwanasheria maarufu kutoka Amterdam Holand, Dk. Camilo Schutte (kushoto), akitoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu jambo hilo. Kulia ni Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya VIP na Mabibo Beer Wines and Spirits Limited,… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Dec
Vip Engineering and Marketing Limited yatoa taarifa kuhusiana na sakata la ESCROW
20141208 Final VIP Taarifa Kwa Umma by moblog
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Wataka sakata la IPTL bungeni
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Sakata la IPTL kutinga bungeni Novemba 27
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Sakata la IPTL, sasa wanasiasa waonywa
11 years ago
Mwananchi19 May
Sakata IPTL lazidi kuwavuruga wabunge
10 years ago
Mwananchi11 Jan
SAKATA LA IPTL: Mabalozi waitaka Serikali kuchukua hatua kali
10 years ago
MichuziVYAMA VITANO VYA SIASA VISIVYO NA WABUNGE VYAOMBA SAKATA LA IPTL LIMALIZWE
MAKATIBU wakuu wa vyama vitano vya kisiasa visivyo na wabunge bungeni wameomba suala la utata wa ufisadi zaidi ya sh.bilioni 300 zilizowekwa katika akaunti ya Tegeta Escrow zilizokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limalizwe ili kuendelea kwa mambo mengine ya kitaifa.
Katika hatua nyingine makatibu hao wamepinga hatua ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (Takukuru) kukabidhi ripoti ya uchunguzi kwa Waziri Mkuu na kudai ipelekwe kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini...
10 years ago
Vijimambo27 Nov
HII NDIO MAELEZO YA SERIKALI KUHUSU SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO
TAARIFA YA WAZIRI WA NISHANI NA MADINI PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO BONYEZA HAPA USOME TAARIFA KAMILI
10 years ago
GPLSOMA TAARIFA YA PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO