Kampuni yaanzisha bima kuwasaidia wakulima
WAKULIMA wadogo nchini wameshauriwa kujiunga katika vikundi ili kunufaika na bima ya kilimo na kuepuka hatari ya ukame na mafuriko yanayoweza kuwasababishia hasara. Akizungumza katika hafla iliyoandaliwa na Kampuni ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
MGen yaanzisha bima ya kilimo
KAMPUNI inayotoa huduma mbalimbali za bima nchini, MGen, imeanzisha bima ya kilimo kuwakomboa wakulima wanaopata hasara kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumza na Tanzania Daima hivi karibuni katika Maonyesho...
9 years ago
MichuziBayport yaanzisha huduma mpya ya bima ya magari, pikipiki na bajaj
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo, imezindua huduma mpya ya bima ya magari,...
11 years ago
Michuzi16 May
BRN yapongezwa kwa kuwasaidia wakulima wadogo
Kauli hiyo imetolewa Dar es Salaam jana na Mwakilishi wa Rais wa Mpango wa UN wa Kusaidia Uwekezaji katika Kilimo (IFAD), Yaya Olanirani, wakati ujumbe wa taasisi hiyo ulipokutana na watendaji mbalimbali wa Serikali. IFAD ni asasi ya Umoja wa Mataifa inayosaidia uwekezaji katika kilimo.
"Tumefurahishwa na miradi ya BRN...
10 years ago
Vijimambo16 Oct
Kampuni ya TTCL yaanzisha kituo cha interneti 'IP Pop'
![Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kulia) akizungumza na wanahabari mara baada ya mkutano wa wadau wa mawasiliano Afrika ikiwemo kampuni ya TTCL.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0213.jpg)
![Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza katika mdahalo wa wadau wa mawasiliano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0114.jpg)
![Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza katika mdahalo wa wadau wa mawasiliano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0111.jpg)
![Kampuni ya TTCL yaanzisha kituo cha interneti 'IP Pop'](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0128.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
Kampuni za bima zashirikiana
KAMPUNI ya Bima ya Britam yenye maskani yake nchini Kenya, imepanua wigo wa kazi zake kwa kuzifikia nchi saba Afrika ikiwemo Tanzania ili kuwapa fursa watanzania kujiendeleza kimaisha kupitia wao....
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
Kampuni ya simu ya tigo,Uhuru One yaanzisha mfumo moya wa mtandao wa 4G LTE
katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam jana kwenye
mkutano juu ya kampuni ya Tigo kuanza kutumia mfumo wa kwanza Afrika wa
mawasiliano ya 4G DVNO ikishirikiana na Uhuru One.
Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez...
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO, UHURU ONE YAANZISHA MFUMO MPYA WA MTANDAO WA 4G LTE
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Kampuni zaja na bima ya ‘Safari Njema’
KAMPUNI ya African Life Assurance ya jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Ndege Insurance Brokers, imeanzisha bima ya maisha ya safari njema "Safari Njema". Akizungumza na Tanzania Daima jana,...
5 years ago
MichuziDIWANI AISHUKURU KAMPUNI YA GP KWA KUWASAIDIA WANANCHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA,FUTARI
Mmiliki wa Kampuni ya SSMC Limited Saidi Mohamed kushoto akimkabidhi
vyakula vya futari na vifaa vya kujikinga na Ugonjwa wa Corona Diwani wa
Kata ya Makorora Omari Mzee vyenye thamani ya milioni 16 vilivyotolewa
na Kampuni ya Mafuta ya GP mapema leo kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kata
ya Makorora Ramadhani Badi
Diwani wa Kata ya Makorora Omari Mzee kushoto akibidhi mmoja wa wananchi wa Kata ya Makorora Futari yenye thamani ya milioni 16 vilivyotolewa na Kampuni ya Mafuta ya GP mapema leo...