Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni za bima zashirikiana

KAMPUNI ya Bima ya Britam yenye maskani yake nchini Kenya, imepanua wigo wa kazi zake kwa kuzifikia nchi saba Afrika ikiwemo Tanzania ili kuwapa fursa watanzania kujiendeleza kimaisha kupitia wao....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yaanzisha bima kuwasaidia wakulima

WAKULIMA  wadogo nchini wameshauriwa kujiunga katika vikundi ili kunufaika na bima ya kilimo na kuepuka hatari ya ukame na mafuriko yanayoweza kuwasababishia hasara. Akizungumza katika hafla iliyoandaliwa na Kampuni ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni zaja na bima ya ‘Safari Njema’

KAMPUNI ya African Life Assurance ya jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Ndege Insurance Brokers, imeanzisha bima ya maisha ya safari njema "Safari Njema". Akizungumza na Tanzania Daima jana,...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BIMA YA RESOLUTION ILIVYOKUTANA NA WATEJA WAKE

Kampuni ya Bima ya Resolution mwishoni mwa wiki iliyoisha iliaanda hafla ya kufuturisha wateja wake katika hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam. Hafla ilihudhuriwa na Sheikh Msaidizi wa Dar es Salaam, Sheikh Athuman Makumbaku.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo, Meneja Mkuu wa Resolution Insurance nchini Tanzania, Bwana Oscar Osir alisema, "Tunawashukuru sana kwamba mmehudhuria hafla hii na tunawapongeza kwa uvumilivu wenu katika mwezi huu mkuu wa Ramadhan.”.
Naye...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya CRDB na kampuni ya Bima ya Heritage zanyakua tuzo za BBLA 2014

  Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Charles Kitwanga, (Kushoto) akimkabidhi tuzo mshindi wa Tuzo za Bodi yenye Uongozi Bora za 2014 (BBLA) katika sekta ya kibenki, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB Bw. Martin Mmari (kulia). Benki ya CRDB iliibuka mshindi katika sekta ya kibenki wakati kampuni ya Heritage Insurance iliibuka kinara katika sekta ya bima katika tuzo hizo zilizofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.  Naibu Waziri wa Nishati...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BIMA YA AFYA YA RESOLUTION YAANDA SIKU MAALUM YA FAMILIA KWA WATEJA WAKE

Kampuni ya Bima ya Resolution leo hii imeaanda siku maalum ya familia kwa ajili ya wateja wake katika viwanya vya Posta jijini Dar es Salaam.
Hii ni mara ya kwanza kampuni hiyo imeaanda siku hii maalum kwa ajili ya wateja wake na kulikuwa na burudani ya kutosha kutoka bendi ya Borabora, DJ maalum na vichekesho kutoka MC Pilipili. Kulikuwa pia na michezo mbalimbali ya watu wazima na watoto kama vile: soka, dance limbo na tug of war. Wateja waalikwa walipata chakula kwani kulikuwa na...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LAKABIDHIWA MRADI WA USIMIKAJI WA HUDUMA YA MKONGO WA TAIFA NA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL)

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kamugisha Kazaura (Kulia) akimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa(TTCL) Justine Mwandu(Kushoto) baada ya kukamilisha mradi wa kuunganisha Makao Makuu ya NIC na matawi 24 nchi nzima kwenye mtandao wa TTCL(MPLS-VPN). Tukio hilo limefanyika katika ofisi za Shirika la Bima la Taifa (NIC).Meneja wa Mradi wa TTCL Ngayalina Mihayo akitoa ufafanuzi kuhusu Shirika la Bima la Taifa jinsi lilivyounganishwa katika mtandaowa TTCL wa MPLS- VPN.NIC...

 

11 years ago

Mwananchi

Bima Lee: Bendi ya Shirika la Bima iliyotamba kwa mtindo wa Magnet Tingisha

Muziki wa dansi nchini una historia pana ikiwahusisha wanamuziki, kazi zao na bendi walizowahi kupitia kama ajira lakini pia kukua kimuziki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule Marekani, Tanzania zashirikiana

WANAFUNZI wa shule za sekondari kutoka jamii za Kimasai wamepata fursa ya kuongeza taaluma na stadi za maisha baada ya Shule ya Sekondari ya Orkeeswa kushirikiana na shule ya kimataifa...

 

10 years ago

Michuzi

AMREF NA KCB ZASHIRIKIANA KATIKA ELIMU ZA WAKUNGA

Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania (kushoto)Moezz Mir akimkabidhi Mkurugenzi Mkazi wa Amref Heath Africa Tanzania Dk. Festus Ilako, hundi yenye thamani ya shilingi milioni 48. Kwa ajili ya kuwasomesha wakunga 10 ambao baada ya kupata elimu wataajiliwa katika vituo vya afya hasa vijijini ili kuwasaidia akinamama wanaohitaji huduma za uzazi.KCB na AMREF wametangaza ushirikiano katika kusaidia suala zima la Afya ya mama na motto nchini hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, wapili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani