Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni zashindania ruzuku ya REA

KAMPUNI binafsi 55 za kuzalisha umeme nje ya Gredi ya Taifa zinashindana kupata nafasi 20 ya ruzuku kwa Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kuweza kuzalisha umeme na kusambaza kwa taasisi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

DC Masasi apongeza REA

MKUU wa Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Farida Mgomi, amepongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa programu yao ya mafunzo inayoendelea wilayani humo, itakayosaidia kukabiliana na uharibifu wa mazingira ya bahari.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

REA: Upatikanaji wa umeme kuongezeka


Na Mwandishi Wetu
KIWANGO cha upatikanaji wa nishati ya umeme kinatarajiwa kupanda hadi asilimia 100 ifikapo mwaka 2030, umesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Meneja Utaalamu Elekezi wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, alisema hayo alipomwakilisha Mkurugenzi wa REA katika ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa wataalamu na wajasiriamali wa usambazaji vifaa vya umeme (nishati) itokanayo na mionzi ya jua.
Katika mafunzo hayo yanayomalizika leo katika Hoteli ya Kebis jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Habarileo

Wasambaza umeme wa REA wapewa siku 7

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneWAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene ametoa muda wa siku saba kwa makandarasi wote nchini wanaotekeleza Mradi wa kusambaza Umeme Vijijini kuhakikisha wanasimamisha nguzo walizorundika maeneo ya vijijini na bila kufanya hivyo watafutiwa vibali.

 

10 years ago

Michuzi

Miradi ya umeme ya REA kutolipiwa fidia

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage (wa sita kutoka kushoto, mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja Mameneja Tanesco wa mikoa na wilaya katika Nyanda za Juu Kusini Magharibi pamoja na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya REA ya usambazaji umeme vijijini, Awamu ya pili katika kanda hiyo, mara baada ya kumaliza kikao kilicholenga kujadili utekelezaji wa miradi husika. Kulia kwa Naibu Waziri ni Meneja Mwandamizi wa Tanesco Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Magharibi, Salome...

 

5 years ago

Michuzi

Vijiji 8,641 vyafikiwa na umeme wa REA


Jumla ya vijiji 8,641 kati ya vijiji 12,268 vya Tanzania Bara vimeunganishwa  na umeme kupitia Mradi ya Usambazaji Umeme Vijijini (REA) sawa na asilimia 70.4.
Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango wakati akitoa Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango wa mwaka 2019/20 na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2020/21.
“Katika kipindi cha Julai 2015 hadi Januari 2020, jumla ya shilingi trilioni 1.53 zimetumika katika utekelezaji wa mradi huu...

 

10 years ago

Michuzi

REA YAENDELEA KUSAMBAZA UMEME VIJIJI VILIVYOBAKI

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
WAKALA wa nishati vijijini (REA) inaendelea kusambaza umeme katika vijiji vilivyobaki kwa awamu, kupitia mradi kabambe wa umeme vijijini ambao umelenga kuweka umeme maeneo ambayo yalikuwa mbali na huduma hiyo.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Edmund Mkwawa wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Mkwawa amesema kuwa mradi huo umeweza kutoa mafunzo na kuwajenga wajasiliamali...

 

10 years ago

Michuzi

Mwijage afanya kikao na wakandarasi wa miradi ya REA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amekutana na Mameneja Tanesco wa mikoa na wilaya katika Nyanda za Juu Kusini Magharibi pamoja na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya REA ya usambazaji umeme vijijini, Awamu ya pili katika kanda hiyo ili kujadili utekelezaji wa miradi hiyo ya umeme.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage (kulia) akizungumza na Mameneja Tanesco wa mikoa na wilaya katika Nyanda za Juu Kusini Magharibi pamoja na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI SINGIDA WATAKIWA KUCHANGAMKIA UMEME WA REA.


Mashimo ya nguzo yakichimbwa.
Upitiaji wa nyaraka za mradi huo ukifanyika.

Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REA) Henry Mwimbe (kushoto) akipitia nyaraka baada ya kukagua mradi wa usambazaji umeme REA II unaoendelea katika wilaya za Iramba, Mkalama, Ikungi na Singida DC. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa REA, Mhandisi Elineema Mkumbo.
Mhandisi Julius Saady kutoka Kampuni ya Kateth Desco Dynamic Engineering Project Cordinator inayotekeleza mradi huo, akizungumzia hatua...

 

10 years ago

TheCitizen

Double fuel levy for Rea, House told

Members of Parliament are planning to double the amount of money deducted from every litre of fuel to boost funds dedicated to rural electrification efforts.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani