Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kanda maalumu watumia helkopta kufanya doria

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaJESHI La Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeimarisha ulinzi katika kukabiliana na viashiria vya matukio ya kihalifu na ujambazi kwa kufanya doria ya helikopta katika mkoa huo na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Pwani, katika msimu huu wa sikukuu ya Pasaka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA MAALUMU KUTOKA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM JUU YA WAHALIFU WALIOTIWA NGUVUNI


Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi kufanya doria kwa helikopta Mwaka Mpya

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaPOLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam imetangaza leo kufanya doria kwa kutumia helikopta ili kuangalia hali ya usalama katika jiji hilo katika sikukuu ya Mwaka Mpya.

 

9 years ago

Dewji Blog

Nitaondoa njaa, wakulima watatumia helkopta kumwagilia mashamba, nitajenga vituo maalumu vya Albino na wazee — Rungwe

hashim..2

Mgombea Urais wa CHAUMA,Hashim Rungwe katika pozi tofauti akihutubia wananchi wa Singida mjini jana.

hashim

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMA) Hashim Rungwe akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni Mkoani  Singida, ambapo aliahidi kuwaondolea wananchi njaa.

hshim..3

Mgombea mwenza wa CHAUMA Issa Abas Husein nae akihutubia wananchi wa Singida mjini.

wananchi

WANANCHI wakimsikiliza Mgombea Urais wa CHAUMA kwenye kituo cha stendi ya zamani Mjini Singida jana.

STAILI

 

9 years ago

Habarileo

Polisi Kanda Maalumu waomba utulivu

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejiandaa kikamilifu kulinda amani na usalama wa nchi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi na wakati wa uchaguzi mkuu na kutoa onyo kwa wale watakaovuruga amani na usalama, kwani wakibainika watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.

 

9 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM LAVUNJA KAMBI YA KIKUNDI KINACHODAIWA KUENDESHA UHALIFU

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP),Suleiman Kova akionyesha silaha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)walizozikamata kutoka kwa majambazi katika operesheni ya jeshi hilo iliyofanyika ofisini kwake jijini Dar es Salaam.



Na Chalila Kibuda

JESHI la Polisi  Kanda Maalum ya Dar es Salaam limevunja kambi inayodaiwa kuendesha uhalifu wa kigaidi wa kuvamia vituo vya polisi na kunyanganya silaha kwa ajili ya kuendeleza uhalifu na kuweza kukamata...

 

9 years ago

Bongo5

Navy Kenzo watumia 80% ya malipo ya show kufanya maandalizi ya show hiyo

Ili msanii afanikiwe anahitajika awe mwepesi katika kuwekeza katika kazi zake ili kujiongezea thamani ya kazi yake. Wapo wasanii wengi ambao wanajinyima kufanya starehe na mambo mengine ya kimaisha ili wawekeze katika kazi pesa wanazopata kwenye shows pamoja na vipato vingine. Nahreel amesema kuwa yeye na Aika wanaounda Navy Kenzo walitumia asilimia 80 ya pesa […]

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DARE SALAAM LAVUNJA KAMBI YA KIKUNDI KINACHODAIWA KUENDESHA UGAIDI WA KIHALIFU

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP),Suleiman Kova akionyesha silaha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)walizozikamata kutoka kwa majambazi katika operesheni ya jeshi hilo iliyofanyika ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP),Suleiman Kova akizungumza na waandishi habari  (hawapo pichani) juu ya operesheni mbalimbali za jeshi hilo na mafanikio yake...

 

9 years ago

Mwananchi

Pongezi Kanda ya Ziwa kufanya vizuri darasa la saba

Jana Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), lilitangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani