Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kanisa lawatimua waumini walio nusu uchi

Waumini wa kanisa katoliki walipigwa na butwaa baada ya baadhi yao kuzuiwa kuingia katika kanisa hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wafungwa Musoma wanatembea nusu uchi

SERIKALI imetakiwa kuwanunulia nguo mpya wafungwa wa gereza la Musoma kutokana na nguo zao kuchanika na kushindwa kutoka nje kwa ajili ya kufanya shughuli za maendeleo. Kauli hiyo ilitolewa jana...

 

10 years ago

Mwananchi

Kanisa kuwasaidia waumini kiuchumi

Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, limeanzisha mpango maalumu wa kuwakomboa waumini wake kiuchumi kwa kuanzisha Benki za Kijamii Vijijini (Vicoba).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kanisa latoa tahadhari kwa waumini

WAZEE wa Kanisa la Ufunuo lililopo Sinza, Dar es Salaam, wametoa tahadhari kwa waumini wa kanisa hilo kuwa makini na watu wanaotumia majina ya watu kuchafua viongozi hao. Akizungumza na...

 

11 years ago

GPL

WAUMINI KANISA LA MORAVIAN WAZUA TIMBWILI

Waumini wa Kanisa la Moravian wakizozana wakati wa vurugu hizo. Gari la polisi likiwasili eneo la kanisa.…

 

11 years ago

GPL

RECHO AFANYA 'BETHIDEI', WASANII WENGI WATOKA NUSU UCHI

Winfrida Joseph a.k.a Recho akikata keki. Recho akiwa na rafiki yake katika pozi.…

 

11 years ago

GPL

WAUMINI 30 WA KANISA LA MORAVIAN KORTINI KWA VURUGU

Hii ni safari ya kwenda kusomewa mashitaka yao.
Akina mama wakificha sura zao baada ya kutoka mahakamani.
Watuhumiwa wakiingizwa mahakamani.  …

 

5 years ago

Michuzi

KANISA KUGAWA BARAKOA KWA WAUMINI WAKE

Na Editha Karlo,Kigoma.
Katika kupambana na maambukizi ya virusi vya  ugonjwa wa Corona (Covid 19), Paroko wa parokia ya Mt. Vicent wa Paulo Katubuka jimbi la Kigoma Padre  Stephene Shaiju amesema kanisa limeandaa mkakati wa kuhakikisa kila muumuni anapata barakoa 2 bure kutokana na barakoa kuuzwa bei ambayo siyo kila mtu anaweza kuimudu.

Ameyasema hayo wakati wa misa takatifu iliyoazimishwa parokiani hapo baada ya Daktari kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi hivyo.

Padre Shaiju...

 

11 years ago

Habarileo

Kanisa Katoliki latoa hofu waumini kuhusu sakramenti

UONGOZI wa Kanisa Katoliki nchini umewatoa hofu waumini wake, kuhusu uwepo wa baadhi ya makanisa yanayodaiwa kuuza sakramenti na kueleza kuwa suala hilo haliwahusu.

 

5 years ago

CCM Blog

KANISA HALISI LA MUNGU BABA LAWAJENGA WAUMINI WAKE KIUCHUMI

Katika ibada ya Jumapili iliyopita, Kanisa Halisi la Mungu Baba, lilitumia ibada hiyo kufanya maonyesho makubwa ya bidhaa na huduma mbalimbali. ibada hiyo kwa mujibu wa Kanisa hilo inaitwa 'Mauzo ya Uzalishaji'.  mtiririko w ibada hiyo iliyoongozwa na Kiongozi wa Kanisa hilo Baba wa Uzao, ni ifuatayo;

KWA NINI IBADA NI UZALISHAJI?

UFUNGUO:
Katika Mathayo 21:13 Yesu aliwaambia watu aliowakuta wanafanyia biashara hekalumi kwamba; “Nyumba yangu itakuwa Nyumba ya Sala, lakini nyie mumeifanya kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani