Kanuni za Fifa, CAF zamrudisha darasani Kaseja
Kanuni na sheria mpya zilizopitishwa na Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) na lile la Afrika (CAF) zimemlazimu kipa wa zamani wa Simba, Juma Kaseja kurudi darasani ili aongeze ujuzi wa fani ya ukocha aliyoianza mwaka jana. Kaseja ambaye hajaonekana muda mrefu kwenye mechi za Ligi Kuu inayoendelea kutokana na mgogoro unaoendelea baina yake na klabu yake ya Yanga, alipata elimu yake ya awali kwenye fani hiyo mwaka jana mjini Morogoro chini ya mkufunzi Meja mstaafu Abdul Mingange.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
Yanga yamtema Kaseja Caf
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Kutolewa Mali, CAF kuangalia upya kanuni
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
FIFA kubadili baadhi ya kanuni
10 years ago
BBC
Caf says it supports Fifa reforms
10 years ago
BBC
Caf - Fifa elections should proceed
10 years ago
BBC
Caf will not back Bility's Fifa bid
10 years ago
BBC
Four Fifa presidential hopefuls visit Caf
10 years ago
BBCSwahili28 May
CAF: Uchaguzi wa FIFA uendelee mbele
10 years ago
BBC
Caf set to elect new Fifa members