Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Karani’ wa benki anayeuza figo yake apate mtaji

>Si ajabu kusikia mtu amejiua kwa sababu tu ya ugumu wa maisha. Wengi wanafikia uamuzi huo baada ya kuhisi hawana msaada mwingine wa kupunguza makali ya maisha. Hata hivyo, kujiua siyo njia sahihi ya kupambana na changamoto.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAAHIDI KUONGEZEA MTAJI BENKI YA TADB



  SERIKALI imeahidi kuiongezea mtaji Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) kutokana na namna inavyowasaidia wakulima na kuwapa kipaumbele wawekezaji wazawa.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki leo wilayani Manyoni, Singida wakati alipofanya ziara ya kutembelea kiwanda cha kuchakata mbegu za Alizeti cha Qstek.

Akizungumza kiwandani hapo, Waziri Kairuki ameipongeza Benki ya Kilimo kwa namna ambavyo imekua ikiwainua wakulima na wawekezaji...

 

11 years ago

Mwananchi

FIGO: Matatizo yake, tishio kwa maisha ya Watanzania

>Hapa duniani kuna maradhi aina nyingi yanayotisha, yakisumbua binadamu, kuwatia ulemavu hata kuwa chanzo cha uchumi kutetereka, wakati mwingine kusababisha kifo. Miongoni mwa maradhi hayo ni kuharibika kwa figo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Hakimu, karani kortini kwa rushwa ya 50,000/-


NA SYLVIA SEBASTIAN
HAKIMU wa Mahakama ya Mwanzo Buguruni, Dar es Salaam, Grace Kivelege na karani wake, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Ilala, kujibu mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa ya sh. 50,000.
Hakimu Grace na Karani Rose Kuhima, walifikishwa mahakamani hapo jana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Wakili wa TAKUKURU, Devota Mihayo, aliwasomea washitakiwa hao mashitaka mawili ya kuomba na kupokea rushwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Juma...

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa Francis akutana na karani aliyekataa ndoa za jinsia moja

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ameripotiwa kukutana na Kim Daviz karani wa Kentucky ambaye alifungwa jela kwa kukataa kutoa leseni za ndoa za wapenzi wa jinsia moja,wakati wa ziara yake huko Marekani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Benki ya HSBC kupunguza matumizi yake

Mojawepo ya benki kubwa zaidi duniani ya HSBC imetangaza taratibu ya kutekeleza zoezi la kupunguza matumizi yake.

 

10 years ago

Habarileo

Maalim Seif ataka Zanzibar iwe na Benki Kuu yake

Maalim Seif Sharif HamadMAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema ipo haja kwa Zanzibar kuwa na chombo chake cha maamuzi ya fedha kitakachoratibu moja kwa moja mwenendo wa uchumi wa Zanzibar.

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yafunga mauzo ya dhamana yake kwa mafanikio makubwa.

Benki ya Exim Tanzania imetangaza kufunga mauzo ya dhamana yake ya muda mrefu (hati fungani) huku ikibainisha kuwa kiasi kilichopatikana kutokana na mauzo ya hati hizo kimezidi mara dufu (asilimia 195) ya malengo ya awali.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana, uuzwaji wa dhamana hizo ulifungwa rasmi Disemba 18 mwaka huu huku benki hiyo ikifanikiwa kukusanya kiasi cha sh bilioni 19.7 kutokana na mauzo ya dhamana hiyo tofauti na makadilio ya sh. bilioni 10...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAENDESHA DROO YA MWISHO YA KAMPENI YAKE YA AKAUNTI YA MALENGO.

Mmoja wa wateja wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Kakili Juma (wa pili kushoto) akiokota karatasi yenye jina la mshindi wa droo ya mwisho na kubwa ya kampeni ya akaunti ya malengo ya Benki ya Exim Tanzania iliyofanyika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni kwa wiki.Wanaoshuhudia kushoto ni pamoja na Meneja Bidhaa ya benki hiyo, Bw Aloyse Maro, Mwakilishi kutoka Bodi ya Taifa michezo ya kubahatisha nchini (GBT), Bw Bakari Maggid, Meneja Masoko wa benki hiyo Bw. Abdulrahman...

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yakabidhi gari kwa mshindi wa kampeni yake ya akaunti ya malengo

Meneja Bidhaa wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Aloyse Maro (kushoto) akikabidhi mfano wa ufunguo wa gari kwa Meneja Mahusiano Msaidizi wa benki hiyo Bi. Naomi Sanga (katikati) ambaye alimuwakilisha mshindi mkuu wa kampeni ya akaunti ya malengo ya benki hiyo aliyejishindia gari aina ya Toyota IST kwenye hafla fupi ya makabidhiani iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Anaeshuhudia ni Meneja Masoko wa Benki hiyo Bw Abdulrahman Nkondo.
Benki ya Exim Tanzania imekabidhi zawadi kuu kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani