Karatasi za kupigia kura zanaswa D’Salaam
Wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ukitarajiwa kufanyika kesho nchi nzima, wafuasi wa (Chadema) na Jeshi la Polisi, wamekamata karatasi zinazodaiwa za kupigia kura kwenye uchaguzi huo za Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, zikirudufiwa jijini Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo25 Aug
Wasioona wataka karatasi maalumu za kupigia kura
CHAMA cha Wasioona Tanzania (TLB), kimeomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuandaa karatasi maalumu za kupigia kura kwa wasioona ili kuondoa uwezekano wa mtu aliyeteuliwa kupiga kura kwa niaba ya asiyeona kumrubuni.
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura
9 years ago
Mzalendo Zanzibar11 Sep
Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura?
Hakuna shaka kua ccm wanataka kufanya wizi wa kubadilisha madokeo ya kura za Uraisi ,vipi madokeo ya kila kituo yanajulikana baada ya umalizikaji wa kupiga kura katika kituo husika halafu leo uambiwe usitangaze nani kashinda katika […]
The post Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura? appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Karatasi za kura zazagaa mitaani
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Karatasi 480 za kura zadaiwa kutelekezwa
9 years ago
Michuzi04 Oct
NEC YAPOKEA KARATASI ZA MFANO WA KURA
Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Eliudi Njaila ameyasema hayo leo jijini Dar es salaam wakati wakiwaonyesha waandishi wa habari karatasi za mfano za kupigia kura zilizopokelewa na...
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Kilichobaki kuwasili ni karatasi za kura tu - NEC
10 years ago
Habarileo17 Dec
Mgombea kortini kwa karatasi bandia za kura
WATU kumi akiwamo mgombea mmoja wa uenyekiti wa kitongoji cha Nyasura D, katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Bunda, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda, wakituhumiwa kufanya vurugu wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
9 years ago
Vijimambo02 Oct
Polisi wakanusha karatasi za kura kukamatwa Masasi.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/H-01Oct2015.png)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limekanusha taarifa zinazodaiwa kuandikwa katika mtandao mmoja wa kijamii, zikidai kukamatwa kwa baadhi ya watu katika kituo cha polisi wilaya ya Masasi mkoani hapa wakiwa na masanduku na fomu za kupigia kura zipatazo 2000 zikiwa tayari zimetumika.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Henry Mwaibambe, alisema taarifa hizo zilidai kuwa, fomu hizo zilimpa alama ya...