Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wakanusha karatasi za kura kukamatwa Masasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Henry Mwaibambe.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limekanusha taarifa zinazodaiwa kuandikwa katika mtandao mmoja wa kijamii, zikidai kukamatwa kwa baadhi ya watu katika kituo cha polisi wilaya ya Masasi mkoani hapa wakiwa na masanduku na fomu za kupigia kura zipatazo 2000 zikiwa tayari zimetumika.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Henry Mwaibambe, alisema taarifa hizo zilidai kuwa, fomu hizo zilimpa alama ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Karatasi za kura zazagaa mitaani

Ikiwa leo ni siku ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu katika nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, inadaiwa kuwa karatasi za kupigia kura zimezagaa mitaani.

 

9 years ago

Mwananchi

Karatasi 480 za kura zadaiwa kutelekezwa

Karatasi 480 za kura kwa ajili ya Rais na mbunge ambazo zimetumika zimedaiwa kutelekezwa karibu na Chuo cha Misitu (FITI) katika Kata ya Njoro Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.

 

10 years ago

Mwananchi

Karatasi za kupigia kura zanaswa D’Salaam

Wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ukitarajiwa kufanyika kesho nchi nzima, wafuasi wa (Chadema) na Jeshi la Polisi, wamekamata karatasi zinazodaiwa za kupigia kura kwenye uchaguzi huo za Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, zikirudufiwa jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

NEC YAPOKEA KARATASI ZA MFANO WA KURA

Na Lydia Churi-NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini ambao ni wasimamizi wa Uchaguzi kuhakikisha wanakagua vifaa wanavyopokea vinavyosambazwa hivi sasa kwa ajili ya Uchaguzi ili kuondoa dosari zinazoweza kujitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu. 


Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Eliudi Njaila ameyasema hayo leo jijini Dar es salaam wakati wakiwaonyesha waandishi wa habari karatasi za mfano za kupigia kura zilizopokelewa na...

 

9 years ago

Mwananchi

Kilichobaki kuwasili ni karatasi za kura tu - NEC

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema zaidi ya robo tatu ya vifaa muhimu vinavyohitajika kwa uchaguzi vimewasili isipokuwa karatasi za kupigia kura.

 

9 years ago

Mwananchi

NEC yasambaza karatasi za kura kwa uhakiki

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa karatasi za mfano za kupigia kura na kuwataka wadau kuzikagua na kubainisha kasoro zilizopo kabla karatasi halisi hazijawasili.

 

9 years ago

Habarileo

Wasioona wataka karatasi maalumu za kupigia kura

CHAMA cha Wasioona Tanzania (TLB), kimeomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuandaa karatasi maalumu za kupigia kura kwa wasioona ili kuondoa uwezekano wa mtu aliyeteuliwa kupiga kura kwa niaba ya asiyeona kumrubuni.

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea kortini kwa karatasi bandia za kura

WATU kumi akiwamo mgombea mmoja wa uenyekiti wa kitongoji cha Nyasura D, katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Bunda, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda, wakituhumiwa kufanya vurugu wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wakanusha kumuonea Lema

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus SabasKAMANDA wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, amesema kuwa tuhuma alizotoa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema si za kweli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani