NEC yasambaza karatasi za kura kwa uhakiki
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa karatasi za mfano za kupigia kura na kuwataka wadau kuzikagua na kubainisha kasoro zilizopo kabla karatasi halisi hazijawasili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Oct
NEC YAPOKEA KARATASI ZA MFANO WA KURA
Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Eliudi Njaila ameyasema hayo leo jijini Dar es salaam wakati wakiwaonyesha waandishi wa habari karatasi za mfano za kupigia kura zilizopokelewa na...
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Kilichobaki kuwasili ni karatasi za kura tu - NEC
5 years ago
Michuzi
NEC yataka wananchi wajitokeze katika uhakiki wa wazi wa kuwezesha kupiga kura.
Wananchi waliojiandikisha katika Daftari la wapiga kura Mwaka 2015 na wale waliojiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari Awamu ya kwanza wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao pindi Daftari litakapowekwa wazi katika maeneo yao na watumie njia nyingine za uhakiki Kama ilivyoelekezwa.
Rai imetolewa leo Jijini Dar es salaam na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa Semistocles Kaijage katika ufunguzi wa mkutano ulioandaliwa na Tume ya Taifa ya...
5 years ago
CCM Blog
MWENYEKITI WA NEC, ATANGAZA KUANZA UHAKIKI DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI

HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZIMHE. JAJI WA RUFAA (MST.) SEMISTOCLES KAIJAGE (PICHANI) KWENYE MKUTANO WA TUME NA VYAMA VYA SIASA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MWL. NYERERE, TAREHE 8 APRILI, 2020
• Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,• Waheshimiwa Wajumbe wa Tume,• Mkurugenzi wa Uchaguzi,• Msajili wa Vyama vya Siasa,• Viongozi wa Vyama vya Siasa,• Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri...
10 years ago
Habarileo17 Dec
Mgombea kortini kwa karatasi bandia za kura
WATU kumi akiwamo mgombea mmoja wa uenyekiti wa kitongoji cha Nyasura D, katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Bunda, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda, wakituhumiwa kufanya vurugu wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
10 years ago
Habarileo13 Sep
NEC yasambaza vifaa vya uchaguzi
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeanza kusambaza vifaa vyenye thamani ya Sh bil 41.6 kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25.
10 years ago
Habarileo25 Aug
NEC sasa yaanza uhakiki waliopita bila kupingwa
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inawasiliana na wasimamizi wa uchaguzi katika ngazi za halmashauri ili kupata idadi kamili ya wagombea waliopita bila upingwa katika ngazi za ubunge na udiwani.
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Karatasi za kura zazagaa mitaani
10 years ago
Mwananchi01 Nov
Karatasi 480 za kura zadaiwa kutelekezwa