Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Karatu kuundiwa mamlaka

Serikali imetangaza mpango wa kuunda, Mamlaka ya Maji, katika mji wa Karatu. Mpango huo ulitangazwa juzi na Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Walimu kuundiwa Tume

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuunda Tume ya Elimu, itakayoshughulika na ajira na nidhamu ya walimu, kukabili changamoto zinazowakabili walimu nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mgogoro Kiteto kuundiwa timu

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema Serikali imeamua kuunda timu ya watu 10 kutoka kada tofauti wakiwemo viongozi wa dini, ambao watapewa jukumu la kufanya kazi ya usuluhishi kwenye vijiji vyenye...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA MAMLAKA HIYO DUNIANI

Na Miza Kona - Maelezo Zanzibar  Wanafunzi wa vyuo na sekondari wameitaka jamii kuwa na mwamko wa kufuatilia taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya hali ya Hewa pamoja na kutembelea vituo hivyo ili kuweza kujua na kupata taarifa za mwenendo wa hali ya hewa Nchini.  Kauli hiyo wameitoa leo huko katika ofisi za Mamlaka hiyo ziliopo Uwanja wa Ndege Zanzibar katika Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani, wamesema jamii imekuwa haina mwamko mzuri katika kufuatilia taarifa za hali ya hewa...

 

11 years ago

AllAfrica.Com

Enyati Lodge in Karatu.


Enyati Lodge in Karatu.
AllAfrica.com
In a three-day tour across the precincts of Karatu town close to Ngorongoro crater in the Northern Tanzania recently, I got the chance to appreciate how Lake Eyasi, rolling green hills, mountainous terrains and climate compare with other parts of the country.

 

9 years ago

Mwananchi

Wakulima Karatu wapata mwekezaji

Wakulima wilayani Karatu Mkoa wa Arusha, wanatarajia kuongeza uzalishaji wa mazao baada ya taasisi ya kimataifa ya zana za kilimo ya nchini Belarus, kutangaza kuwekeza katika wilaya hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi, wananchi wapambana Karatu

Mamia ya wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Bashay kilichoko wilayani hapa wamepambana na polisi kwa kuwarushia mawe kwa kile walichodai kuishinikiza Serikali kuweka matuta katika Barabara ya Karatu hadi Ngorongoro.

 

9 years ago

Habarileo

Baiskeli Arusha watamba Karatu

MKOA wa Arusha jana ulitamba katika tamasha la 14 la michezo na utamaduni la Karatu baada ya kushika nafasi 14 za kwanza katika mchezo wa mbio za baiskeli za kilometa 60 kwa wanaume.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete Ziarani Karatu

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Karatu wakimkaribisha kwa shangwe Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili mjini humo ambapo alifungua jengo la Halmashauri ya wilaya ya Karatu. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kkwete akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Karatu muda mfupi baada ya kuwasili mjini hapo ambapo alifungua jengo la Halmashauri,Kufungua jengo la TRA wilaya na kuzindua mradi wa maji. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta na mtoto mwenye ulemavu Meshack Amos kutoka katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani