Walimu kuundiwa Tume
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuunda Tume ya Elimu, itakayoshughulika na ajira na nidhamu ya walimu, kukabili changamoto zinazowakabili walimu nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NeZSb8inmZg/XsNwbcdl5GI/AAAAAAALqtU/fB7I1rBmzecoLfLGFJIJnH212rT3ZKKxwCLcBGAsYHQ/s72-c/873cfe13-d758-4251-8b9e-f44638d623d6.jpg)
JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI
Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .
Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.
Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Muswada Tume ya Walimu wapita
BUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Tume ya Walimu ya Mwaka 2015.
Hata hivyo, Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii na baadhi ya wabunge waliwasilisha marekebisho kutuka mishahara ya walimu ilipwe na tume hiyo, ambayo hayakupitishwa.
Muswada huo ulipitishwa jana bungeni mjini Dodoma. Dk. Hamisi Kigwangalla (Nzega –CCM), aliomba mwongozo wa Spika Anne Makinda, akiomba muswada huo usipite kwa kuwa akidi haikuwa imetimia.
Dk. Kigwangalla alisema kanuni za Bunge haziruhusu muswada...
10 years ago
Habarileo08 Feb
Tume ya Walimu kuanza kazi Julai
SERIKALI imesema Tume ya Utumishi wa Walimu itaanza kazi Julai mwaka huu na kuhudumia walimu katika masuala mbalimbali huku muundo wa utumishi wa tume hiyo umehusisha ngazi za chini na juu.
10 years ago
Habarileo13 Sep
Oluoch ataka Tume ya Utumishi wa Walimu katiba mpya
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ezekiah Oluoch ameshawishi wajumbe wenzake kuhakikisha Tume ya Utumishi wa Walimu, inaundwa na inatambuliwa na Katiba mpya.
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Karatu kuundiwa mamlaka
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Mgogoro Kiteto kuundiwa timu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema Serikali imeamua kuunda timu ya watu 10 kutoka kada tofauti wakiwemo viongozi wa dini, ambao watapewa jukumu la kufanya kazi ya usuluhishi kwenye vijiji vyenye...
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni
10 years ago
Michuzi27 Feb
UTEUZI KATIKA TUME YA UTUMISHI WA UMMA NA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI (CMA)
Katika uteuzi huo, Rais amemteua Mhe. DKT. STEPHEN JAMES BWANA, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma na BWANA EDRISSA R. MAVURA, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), Bw. Mavura ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu.
Sambamba na uteuzi huu, Rais amewateua Makamishna katika...