Karibu leo Escape One ucheze mziki mzuri na bendi yako ya Skylight!
Sony Masamba akichana mistari na mashabiki wa Skylight Band wakiendelea kuzirudi huku Joniko Flower, Sam Mapenzi na Kasongo Junior wakimsikindiza kwa miondoko ya aina yake. Hakika hii sio ya kukosa leo Jumapili.
Kasongo Junior na Suzy wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita, bila kukosa ya leo itakuwa pale pale.
Kasongo Junior na Suzy wakiendelea wakizirudi kwenye kiota cha Escape One.
Sam Mapenzi akitoa burudani...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboNJOO LEO ESCAPE ONE UCHEZE MZIKI MZURI KUTOKA KWENYE BENDI YA SKYLIGHT
11 years ago
Dewji Blog27 Jun
Skylight Band wazindua wimbo wao mpya kwa kishindo, leo ndani ya Thai Village hapatoshi njoo ucheze na kufurahi na staili mpya kibaoo!!
Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mpera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania
Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii
Diva wa Skylight Band Digna Mpera akilisogeshaaaa taratibuuuuuuuu
Meneja mwenyeweee Aneth Kushaba kwa raha zakeeeee Akiiimba kwa furaha kabisa ndani ya Kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita,ambayo ilikuwa ni uzinduzi Rasmi wa Wimbo wao...
11 years ago
GPLSKYLIGHT BAND WAZINDUA WIMBO WAO MPYA KWA KISHINDO,LEO NDANI YA THAI VILLAGE HAPATOSHI NJOO UCHEZE NA KUFURAHI NA STAILI MPYA KIBAOO!!
11 years ago
Dewji Blog30 Apr
Usikose mkesha wa May Day leo usiku na Skylight Band ndani ya Escape One
Bendi yako ya kijanja Skylight inakutangazia ratiba yake ya leo kwenye mkesha wa May Day ndani ya Kiota cha Escape One Mikocheni kuanzia saa 2 usiku mpaka kieleweke…Njoo ucheze ma-style ya nguvu ikiwemo style mpya ya “Kikuku Kwiyo-kwiyo”…Just Follow the light!
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/92.jpg)
UKITAKA RAHA NA BURUDANI YA MUZIKI MZURI BASI NI SKYLIGHT BAND PEKEE LEO NDANI YA THAI VILLAGE
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Skylight Band waendelea kuwasha moto wa nguvu ndani ya Escape One usikose leo
Waimbaji wa Bendi ya Skylight pamoja na mashabiki wa bendi hiyo wakiendelea kuzirudi katika kiota cha Escape One Jijini Dar es Salaam na leo sio siku ya kukosa maana utakosa vitu vizuri kutoka katika bendi hiyo
Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Jumapili iliyopita ndani ya kioa cha Escape One Mikocheni ambapo leo pia burudani iko pale pale na ndio kwanza week end imeanza kwa fans wa Skylight Band.
Kasongo Junior...
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Unaambiwa hiviii, ukitaka raha na burudani ya muziki mzuri basi ni Skylight Band pekee leo ndani ya Thai Village
Majembe ya kazi wakiwajibika jukwaaani ili kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wao ndani ya uwanja wao wa nyumbani Thai Village Kutoka kushoto ni Joniko Flower akifuatiwa na Sony Masamba (katikati) pamoja na Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo. Mwambie yule na yule na wale tukutane pale kati kwa uchakavu wa Tshs 5,000 tu getini.
Skylight Band Divas wakishirikiana kwa pamoja kutoa vocal tamuuuuuuu ndani ya kiota cha maraha Thai Village. Wa kwanza kushoto ni Mary Luvcos, Digna Mbepera...
9 years ago
Dewji Blog11 Oct
Skylight Band kukinukisha leo kiota cha Escape One katika Sunday Bonanza, usikose!
Sam Mapenzi ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akitoa burudani na kusindikizwa na waimbaji wenzake.
Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka ndani ya Kiota cha Escape One Jumapili iliyopita, usikose na leo pia.
Mwimbaji wa bendi ya Skylight Natasha akiimba moja ya nyimbo zinazobamba hapa nchini uku akisindikizwa vizuri na...