Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NJOO LEO ESCAPE ONE UCHEZE MZIKI MZURI KUTOKA KWENYE BENDI YA SKYLIGHT


 Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akiendelea kutoa burudani akisindikizwa na waimbaji wenzake jumapili iliyopita.Njoo leo kuona mambo mapya kutoka katika bendi ya Skylight katika kiota cha Escape One.
 Mwimbaji wa bendi ya skylght Natasha akiwa anawapa mashabiki vionjo vya nyimbo za taratibu (kistaarabu) huku akisindikizwa na Sam Mapenzi jumapili iliyopita ndani ya kiwanja cha Escape One Mikocheni. 
 Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba kwa hisia moja ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Karibu leo Escape One ucheze mziki mzuri na bendi yako ya Skylight!

Sony Masamba akichana mistari na mashabiki wa Skylight Band wakiendelea kuzirudi huku Joniko Flower, Sam Mapenzi na Kasongo Junior wakimsikindiza kwa miondoko ya aina yake. Hakika hii sio ya kukosa leo Jumapili.

Kasongo Junior na Suzy wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita, bila kukosa ya leo itakuwa pale pale.

Kasongo Junior na Suzy wakiendelea wakizirudi kwenye kiota cha Escape One.

Sam Mapenzi akitoa burudani...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mashabiki wazidi kuifangilia Skylight Band njoo leo upate vitu vipya kutoka kwenye Bendi hiyo

 Hakika kwenye shoo ya Skylight ya kila Jumapili sio ya kukosa njoo ujionee mambo mazuri kutoka katika bendi ya Skylight…..Just Follow the Light.   Sam Mapenzi na Natasha wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita, bila kukosa ya leo itakuwa pale pale.  Mwimbaji wa Bandi ya Skylight, Leah (katikati) akiongoza akitoa burudani ya nguvu mbele ya mashabiki wao huku akisindikizwa na Sony Masamba (kushoto) pamoja na Leah(kulia)

 

9 years ago

Michuzi

NJOO TUSHEHEREKEE PAMOJA KWENYE MKESHA WA EID NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA ESCAPE ONE MIKOCHENI

Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower( kushoto) akiendelea kutoa burudani ya nguvu huku msanii mwenzake Sony Masamba akiendelea kuzirundi ngoma ndani ya kiota cha Escape One, Mikocheni jijini Dar. Usikose leo siku ya Jumatano kwenye mkesha wa EID maana kuna vitu vingi vipya.Mwimbaji wa Bendi ya Skylight, Natasha pamoja na mwenzake Kasongo Junior haya ni Majembe mapya ya bend ya Skylight yenye uwezo mkubwa wa katika uimbaji.Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wazindua wimbo wao mpya kwa kishindo, leo ndani ya Thai Village hapatoshi njoo ucheze na kufurahi na staili mpya kibaoo!!

Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mpera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania

Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii

Diva wa Skylight Band Digna Mpera akilisogeshaaaa taratibuuuuuuuu

Meneja mwenyeweee  Aneth Kushaba kwa raha zakeeeee Akiiimba kwa furaha kabisa ndani ya Kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita,ambayo ilikuwa ni uzinduzi Rasmi wa Wimbo wao...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND WAZINDUA WIMBO WAO MPYA KWA KISHINDO,LEO NDANI YA THAI VILLAGE HAPATOSHI NJOO UCHEZE NA KUFURAHI NA STAILI MPYA KIBAOO!!‏

Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mbepera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii…

 

9 years ago

Dewji Blog

Njoo wewe na yule katika ‘Skylight Sunday Bonanza’‬ kiota cha Escape One leo jioni

 Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akiwasebenesha sehemu ya mashabiki wao sambamba na Sony Masamba jumapili iliyopita kwenye Skylight Sunday Bonanza‬ kiota cha Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam na hivi leo mwendo ni ule ule na speed 120.(Picha na Geofrey Adroph wa pamoja blog).

 Rapa Joniko Flower akichuana na mmoja wa shabiki wa Skylight Band staili mbalimbali za sebene huku mashabiki wengine wakiangalia na kuiga miondoko hiyo.

 Msanii Em Evans...

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yazidi kuwapagawisha mashabiki wake njoo leo uone vitu vipya

DSC_0340

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba mmoja ya nyimbo yenye hisia kali sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Sony Masamba akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake ambao ni Aneth Kushaba(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sam Mapenzi(Kulia)

Ashura Kitenge akiimba kwa pamoja na Sam Mapenzi mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani) kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar

Sam Mapenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani