Mashabiki wazidi kuifangilia Skylight Band njoo leo upate vitu vipya kutoka kwenye Bendi hiyo
Hakika kwenye shoo ya Skylight ya kila Jumapili sio ya kukosa njoo ujionee mambo mazuri kutoka katika bendi ya Skylight…..Just Follow the Light.
Sam Mapenzi na Natasha wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita, bila kukosa ya leo itakuwa pale pale.
Mwimbaji wa Bandi ya Skylight, Leah (katikati) akiongoza akitoa burudani ya nguvu mbele ya mashabiki wao huku akisindikizwa na Sony Masamba (kushoto) pamoja na Leah(kulia)
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog24 Apr
Skylight Band yazidi kuwapagawisha mashabiki wake njoo leo uone vitu vipya
Ashura Kitenge akiimba kwa pamoja na Sam Mapenzi mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani) kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/DSC_0340.jpg)
SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWAPAGAWISHA MASHABIKI WAKE NJOO LEO UONE VITU VIPYA
9 years ago
VijimamboNJOO LEO ESCAPE ONE UCHEZE MZIKI MZURI KUTOKA KWENYE BENDI YA SKYLIGHT
11 years ago
Dewji Blog23 May
Skylight Band wazidi kuwapa raha zisizo na kifani mashabiki wake Jijini Dar, usikose leo ndani ya Thai Village
Sam Mapenzi akiliazisha Taratibuuuuu ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Vijana wa Skylight kwa Taaratibuuu wakiimba kwa hisiaa kali kuwapa burudani mashabiki wao ndani ya kiwanja cha Thai village.
Anaitwa Hashim Donode (mzee wa viduku)akiimba kwa Hisia kaliiiii kabisaaa ndani ya kiwanja cha Thai Village Ijumaaa iliyopita ili kuwapa ile kitu roho inapenda mashabiki wao.
Toka kushoto Digna Mbepera akimpa sapoti ya nguvu kijana machachariiiiii anayejulikana kwa jina la Donode...
9 years ago
MichuziNJOO TUSHEHEREKEE PAMOJA KWENYE MKESHA WA EID NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA ESCAPE ONE MIKOCHENI
10 years ago
Dewji Blog16 Jan
Skylight Band wazidi kulitikisa jiji la Dar wasajili vifaa vipya akiwemo John Music
Kifaa kipya ndani ya Skylight Band John Music akiimba kwa hisia kaliii huku akipewa sapoti na Wenzake wa kwanza kushoto ni Baby na wa pili kutoka kushoto ni Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 na kulia ni Jessie
Wanaume wa shoka wa Skylight Band kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakionyesha...
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR WASAJILI VIFAA VIPYA AKIWEMO JOHN MUSIC
11 years ago
Dewji Blog18 Jul
Shabiki wa Skylight Band awadatisha Joniko Flower na Aneth Kushaba kwa kucheza ma-style ya bendi hiyo bila kukosea!
Vijana wa JembeniJembe wa Skylight Band wakitikisa jukwaa kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.
Digna Mbepera, Mary Lucos na Sony Masamba wakiwajibika jukwaani.
Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.
So how do you expect me to live alone with just me …’Cause my world revolves around you
It’s so hard for me to breathe...No air...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/DSC_01061.jpg)
SHABIKI WA SKYLIGHT BAND AWADATISHA JONIKO FLOWER NA ANETH KUSHABA KWA KUCHEZA MA-STYLE YA BENDI HIYO BILA KUKOSEA!