Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kashfa ya dawa za kuongeza nguvu 2014

Chama cha riadha Tanzania kimesema mwaka 2014 umekuwa na mafanikio katika kudhibiti utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu michezoni .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Kolo Toure, huyu ni staa mwingine wa soka aliyefungiwa kwa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ….

Najua umezoea kusikia zile headlines za wanamichezo kadhaa wakiingia katika shutuma za kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni dawa ambazo zimekatazwa kutumika katika michezo. Miongoni mwa wanamichezo ambao wamekuwa wakituhumiwa kutumia dawa hizo ni wanariadha na mabondia. Stori zilizopo katika headlines kwa sasa zinamuhusu staa wa soka wa Brazil anayekipiga katika klabu ya Shaktar Donetsk ya Ukraine Frederico […]

The post Baada ya Kolo Toure, huyu ni staa mwingine wa soka aliyefungiwa kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Vinywaji vya kuongeza nguvu ni hatari

VINYWAJI baridi vyenye lengo la kuongeza nguvu vinadaiwa kuwa hatari kwa afya ya watumiaji baada ya kubaini baadhi ya kemikali husababisha madhara mwilini.

 

11 years ago

Michuzi

SAMATA, ULIMWENGU KUONGEZA NGUVU STARS

Klabu ya TP Mazembe imewaruhusu wachezaji wake Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu kujiunga na timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo tayari imewasili Harare, Zimbabwe kwa ajili ya mechi ya michuano ya Afrika.
Taifa Stars itacheza na Zimbabwe (Mighty Warriors) katika mechi ya marudiano raundi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Morocco. Mechi hiyo itachezwa Jumapili (Juni 1 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa jijini Harare.
Samata na Ulimwengu...

 

10 years ago

BBCSwahili

NATO kuongeza nguvu Mashariki mwa Ulaya

Majeshi ya Nato yanatarajiwa kutangaza mpango wa kuongeza nguvu Mashariki mwa Ulaya kufuatia mapigano nchini Ukraine

 

11 years ago

Habarileo

Polisi kuongeza nguvu udhibiti mauaji ya kishirikina

JESHI la Polisi nchini litaendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia na vitendo vya mauaji yanayosababishwa na imani za kishirikina kwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya madhara ya vitendo hivyo.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAAHIDI KUONGEZA ULINZI TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA


Jeshi la Polisi nchini limeingia Makubaliano ya kutoa Ulinzi na Tume ya Nguvu za Atomik Tanzania, kutokana na eneo hilo kuwa ni muhimu kwa nchi,pamoja na usalama wa nchi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa eneo hilo halitumiwi na wahalifu.

Akizungumza wakati wa zoezi hilo Kamishna wa Operesheni Liberatus Sabas alisema kuwa eneo hilo ni muhimu sana kwa usalama wa nchi hivyo, linahitaji kuwa salama na ulinzi mathubutu ili kuzuia wahalifu kutotumia eneo hilo.

Sabas alisema...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wahamasishaji jamii kuongeza nguvu ya kampeni mpya ya uzazi wa mpango Kigoma

E80A5052

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la World Lung Foundation Dk.Nguke Mwakatundu (katikati) akizungumza katika mkutano na Waandishi wa habari,waganga wakuu wa wilaya mkoani Kigoma na wahamasishaji jamii kuhusu uzazi wa mpango ikiwa ni sehemu ya  kampeni ya uzazi wa mpango ijulikanayo thamini uhai Jitofautishe.

*Wahamsishaji jamii waliofuzwa watafanya kazi na kampeni ya Thamini Uhai kuhamasisha faida za uzazi wa mpango*

Mkutano na waandishi wa habari mkoani Kigoma umeainisha nafasi muhimu ya...

 

9 years ago

StarTV

   TFDA kuongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa Vifaa Vya Kupima Damu

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa TFDA imesema itaongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa vifaa vinavyotumika kupima damu au kitu chochote katika mwili wa binadamu.

Vitendanishi hivyo ni pamoja na mate, mkojo na haja kubwa ili kutambua tatizo lililoko mwilini na kuondoa utata wa majibu unaotokana na baadhi ya vitendanishi kutokukidhi ubora, usalama na utendaji kazi unaotakiwa.

Meneja wa usajili wa vifaa tiba kutoka TFDA   Bi Agnes Kijo ameyasema hayo wakati akizungumza katika mkutano...

 

10 years ago

Habarileo

Dawa za kuongeza uchungu hatari kwa wajawazito

MATUMIZI ya dawa za kienyeji kwa ajili ya kuongeza uchungu na kujifungua mapema, imeelezwa kuchangia zaidi vifo kwa wajawazito.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani