Katiba iwawezeshe wabunge kuhoji deni la taifa
Wakati deni la taifa likifikia Sh30.6 trilioni, Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 imechangia kwa kiasi fulani kwa kutolipa Bunge letu meno ya kuhoji na kuisimamia Serikali katika ukopaji huo
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Wabunge: Kitengo cha deni la Taifa kinahitaji wataalamu
11 years ago
Dewji Blog04 Jun
Wabunge wa Bunge la Katiba washauriwa kuweka maslahi ya taifa mbele
Kaimu Mwalimu mkuu wa pili kitengo cha walemavu katika shule ya msingi mchanganyiko Ikungi, Donard Adamu Bilali, akizungumza na wanachama wa Singida Press Club, waliotembelea shule hiyo.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Ikungi
KAIMU Mwalimu Mkuu kitengo cha walemavu shule ya msingi Ikungi mchanganyiko, Donard Bilali amewashauri wajumbe wa Bunge la katiba kuimarisha umoja baina yao ili waweze kutengeneza katiba itakayokidhi mahitaji ya Watanzania kwa zaidi ya miaka 50...
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Deni la Taifa sasa ni janga la Taifa
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Deni la MSD lawakera wabunge
10 years ago
Michuzi04 Sep
Naibu Mwanasheria Mkuu amewasilisha Mahakamani pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea
NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, leo amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kwamba maombi hayo ni batili kisheria na hayawezi kuthibitishwa mahakamani, hivyo yatupiliwe mbali.
Masaju amewasilisha pingamizi hilo akitoa sababu nne, akiitaka mahakama kutupilia mbali maombi yaliyopo...
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Deni la taifa lazidi kupaa
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Nini hatima ya deni la Taifa?
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Lipumba ahofia deni la taifa
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Mdee alia na deni la taifa
MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), Halima Mdee, amesema kuwa katika kipindi cha miaka tisa ya utawala wa Rais Jakaya Kikwete, deni la Taifa limeongozeka kutoka sh trilioni saba...