Katibu Mkuu Kiongozi afungua Mdahalo katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na wageni waalikwa jana katika Ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (ambao hawapo katika picha) jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa Mdahalo katika kuadhimisha Siku ya Maadili.
Mkurugenzi Mtendaji wa Roundtable Bw.Ali Mufuruki akizungumza na wageni waalikwa (ambao hapo katika picha) wakati wa ufunguzi wa Mdahalo katika Madhimisho ya Siku ya Maadili jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa katika Mdahalo wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
Katibu Mkuu Kiongozi Afungua Mdahalo katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili Chuo Kikuu cha Dar es salaam leo

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na wageni waalikwa leo katika Ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (ambao hawapo katika picha) jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa Mdahalo katika kuadhimisha Siku ya Maadili


9 years ago
Michuzi
Katibu Mkuu Kiongozi awaasa watanzania kuzingatia Maadili katika Utumishi

Watanzania wameaswa kuzingatia Maadili ya Kitaifa ambayo ni kiini cha kuboresha na kusimamia maadili ya viongozi, watumishi wa Umma na watu wanaojishughulisha na sekta binafsi nchini ili kuendelea kuimarisha utendaji kazi na kupambana na uovu katika jamii.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Mhe. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo ambapo alisema kuwa maadili ya Taifa ni moja ya tunu muhimu...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA TAIFA LA SWEDEN
11 years ago
Michuzi.jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi ahitimisha Ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua mradi wa bomba la gesi aasilia
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Serikali imesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirishia gesi asilia kutoka Mtwara hadi Dar es salaam unaenda vizuri kulingana na ratiba yake na utakamilika kwa wakati.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembelea kituo cha kufua umeme kwa kutumia gesi asilia kinachojengwa Kinyerezi wakati akihitimisha ziara yake ya siku mbili ya kukagua mradi wa ujenzi wa bomba la gesi jijini Dar es salaam.
Balozi Sefue alisema...
9 years ago
Michuzi
10 years ago
GPL
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE KUWA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU
Afisa Habari wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Veronica Kazimoto akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu mkutano wa wadau wa takwimu wenye lengo la kujadili namna ya kushirikiana katika kuhakikisha takwimu za viashiria vya Mpango wa Maendeleo Endelevu (SDGs) zinapatikana kwa wakati unaotakiwa. Mkutano huo utafanyika kesho katika ukumbi wa hoteli ya Habour View iliyopo Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Taifa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania