Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu Mkuu wa MPLA awasili Dar es Salaam kuhudhuria Mkutano wa vyama vya Kisoshalisti

 Katibu Mkuu wa Chama cha MPLA cha Angola Comrade Julio Mateus Paulo akipokelewa na Ndg. Phares Magesa Mjumbe wa NEC kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM  uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili leo. Katibu Mkuu huyo wa Chama kinachoongoza Angola amewasili Dar es Salaam  kuhudhuria Mkutano wa vyama vya Kisoshalisti ulimwenguni unaoanza kesho katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.  Ndg.Magesa (MNEC) akiwa katika mazungumzo mafupi na Comrade Paulo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU PROFESA OLE GABRIEL AFUNGUA MKUTANO WA VYAMA VYA WAFUGAJI WA KUKU, NGURUWE

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo nchini Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema wanatarajia kuanzisha kliniki za kutoa ushauri wa ufugaji katika kila Halmashauri ili kuongeza thamani ya ngozi inayozalishwa.

Profesa Gabriel ameyasema hayo  leo Jumamosi Machi 7, 2020  wakati wa kufungua mkutano wa wadau mbalimbali wa sekta Mifugo  jijini Dar es Salaam.

Wadau wa Mkutano huo ni  vyama vya Wafugaji Kuku  Nguruwe  pamoja na wadau wa ngozi uliolenga kupokea changamoto za  katika Biashara  Biashara...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto), akihutubia wakati akifungua mkutano wa wadau wa takwimu Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolph Mkenda na Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk.Albina Chuwa. Mkutano huo uliandaliwa na NBS.Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk.Albina Chuwa akihutubia kwenye mkutano huo.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolph Mkenda  akizungumza katika mkutano huo.


Mwakilishi wa...

 

9 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU DAR ES SALAAM LEO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto), akihutubia wakati akifungua mkutano wa wadau wa takwimu Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolph Mkenda na Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk.Albina Chuwa. Mkutano huo uliandaliwa na NBS.Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk.Albina Chuwa akihutubia kwenye mkutano huo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolph Mkenda  akizungumza katika mkutano huo.
Mwakilishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MWAMINI MALEMI AFUNGUA MKUTANO WA WADAU KUHUSU TEKNOLOJIA NA HUDUMA ZA ULINZI WA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi akifungua mkutano wa Teknolojia na Huduma za Ulinzi wa Umma unaofanyika katika Hoteli ya Double TreeJijini Dar es Salaam. Mkutano huu unawashirikisha wadau wa sekta Teknolojia ya Usalama kutoka nchini Ujerumani na Tanzania Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Teknolojia na Huduma za Ulinzi wa Umma wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI MAREKANI KUHUDHURIA MKUTANO WA 69 WA UN

Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali waliofika kumuaga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014. Kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali…

 

10 years ago

Michuzi

JK awasili Marekani kuhudhuria mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumatatu, Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia Mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN General Assembly) New York. Mbali na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Rais Kikwete pia atahudhuria mikutano muhimu katika mji mkuu wa Marekani, Washington, D.C. Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali waliofika kumuaga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani