KATIBU MKUU WA ZAMANI CHADEMA ATIMKIA CCM

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt.Vincent Mashinji ametangaza rasmi kuondoka CHADEMA na kuhamia CCM leo February 18, 2020 na kupokelewa na Humphrey Polepole katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.
“Baada ya kutafakari mwenendo mzima wa siasa na uchumi nchini na kuangalia kina nani wako tayari nikaona kwa upande wetu Chadema bado tuko mbali sana kuchochea mambo haya ya maendeleo,”- Amesema Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Vincent MashinjiAliyekuwa Katibu Mkuu...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziAliyewahi kuwa katibu wa CHADEMA mkoa wa Njombe atimkia CCM
Aliyewahi kuwa katibu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) mkoa wa Njombe aliyepokelewa nafasi hiyo kwenye chaguzi za ndani za chama hicho mwaka 2019 Ndugu Alatanga Nyagawa,Leo ametangaza kukihama chama hicho na kurejea CCM kwa madai ya kukosekana kwa ajenda ndani ya upinzani.
Vile vile Alatanga amesema hakuna ubishi kwamba Serikali ya awamu ya Tano imepiga hatua kubwa katika shughuli za maendeleo na upinzani umekosa ajenda.
Alatanga ambaye aliwahi...
5 years ago
CCM Blog
KATIBU MKUU WA ZAMANI CHADEMA ACHOMOLEWA GEREZANI

Dkt Mashinji ameyabainisha hayo leo mara baada ya kuachiwa huru, baada ya jana kushindwa kulipa faini yake na kupelekwa Gereza la Segerea na kuliomba Taifa kuendelea kuboresha zaidi Magereza.
"Niwashukuru sana ndugu zangu wa CCM, miaka miwili...
11 years ago
Habarileo12 Jun
Mwenyekiti Chadema atimkia CCM
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mbinga, Desderius Haule amekihama chama hicho na kujiunga na CCM.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Diwani CCM Arusha atimkia CHADEMA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) jijini Arusha kimepata pigo baada ya aliyewahi kuwa Diwani wake, Amos Mwanga kutimkia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mwanga alisema jana ameamua kujiunga na CHADEMA...
10 years ago
Dewji Blog17 Jul
Msaidizi wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara ajiunga Chadema
Bw. Jumanne Juma Msunga.
Na Hillary Shoo, SINGIDA
MSAIDIZI wa Naibu Katibu Mkuu wa (CCM) Bara, Jumanne Juma Msunga ametangaza rasmi kuhama CCM na kujiunga na CHADEMA, kwa madai kuwa CCM ni chama cha kudhulumu haki za wanachama wake.
Akitangaza uamuzi wake huo jana mbele ya waandishi wa habari kwenye ofisi za CHADEMA Mkoani Singida, Msunga alisema ameamua kujinga na CHADEMA,huku akidai kuwa CCM haikutenda haki katika mchakato mzima wa kumpata Mgombea wa nafasi ya Urais.
Alisema CCM haina...
5 years ago
Michuzi
MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA SINGIDA ATIMKIA CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Munde Tambwe (kulia) akimkabidhi kadi ya CCM, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Shabani Limu baada ya kujiunga na chama hicho mwishoni mwa wiki.

Mjumbe wa Kamati Kuu na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Munde Tambwe, akionesha kadi ya Chadema baada ya kukabidhiwa.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida,...
5 years ago
Michuzi
ALIYEKUWA KATIBU MKUU CHADEMA DK.MASHINJI ATUA CCM ...ATOA SABABU
Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii
AMETUA CCM!Hivyo ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk.Vicent Mashinji kutangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi(CCM).
DK.Mashinji aliyejiondoa Chadema Desemba mwaka 1919 amefikia uamuzi wa kujiunga CCM leo Februari 18, mwaka 2020 ambapo akitangaza uamuzi huo akiwa Ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam akiwa amepokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi Humphrey...
5 years ago
Michuzi
BREAKING NEWZZZZZ: ALIYEKUWA KATIBU MKUU TAIFA WA CHADEMA DKT MASHINJI AHAMIA CCM.

11 years ago
Michuzi
ZIARA YA KATIBU MKUU YA CCM,NDUGU KINANA YAIBOMOA NGOME YA CHADEMA WILAYANI LUSHOTO.


