Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu Simba awe na shahada

Klabu ya Simba imetangaza sifa za waombaji wa ajira ya katibu mkuu, huku kigezo kikuu kikiwa ni shahada.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI SIMBA APONGEZWA NA ILIYOKUWA IDARA YAKE KWA KUTEULIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Bw. Elibariki Maleko katika hafla fupi ya kumpongeza Balozi Simba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Kabla ya uteuzi huo Balozi Simba alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati. Hafla hiyo ilifanya katika Hoteli ya Southernsun Jijini Dar es Salaam Balozi Simba akitoa neno la shukrani kwa Watumishi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA ASHIRIKI MAZISHI YA MUFTI SHEKHE ISSA SHABAN BIN SIMBA

Pichani Chini: Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibroad Slaa akisalimiana na baadhi ya waombolezaji baada ya swala ya kumsalia Marehemu Mufti Mkuu wa Tanzania Shehe Issa Shabaan Simba iliyofanyika leo Makao Makuu ya Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA). 

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mkuu mpya TCRA Dkt.Ally Yahaya Simba amtembelea Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo


 Mkurugenzi Mkuu mpya wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt.Ally Yahaya Simba(Kushoto) akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akimueleza Dkt. Ally Yahaya Simba (Kushoto) umuhimu wa kuendelea kufanya kazi kwa pamoja kwa lengo la kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta ya mawasiliano,alipomtembelea leo...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BALOZI MULAMULA ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, BALOZI SIMBA NAIBU WAKE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Balozi Liberata Rutageruka Mulamula (kulia) kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. 
Kwa sasa Balozi Mulamula ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico.

Rais Kikwete pia amemteua Balozi Hassan Simba Yahya (chini) kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo  ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.  
Kwa sasa Balozi Yahya ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Wizarani...

 

9 years ago

Vijimambo

JK AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU NA KATIBU TAWALA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na waliapishwa keo.Kushoto ni Katbu Tawala Mkoa wa Katavi Ndugu Madeni kipande, wanne kushoto ni Naibu katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu Emmanuel Kalobelo na kulia ni Naibu Katibu Mkuu Mpya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Ndugu Tixon NzundaNaibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu Emannuel...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MANAIBU KATIBU WAKUU NA KATIBU TAWALA WA MKOA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha manaibu katibu wawili wa wizara na Katibu Tawala wa mkoa katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Manaibu katibu walioapishwa ni pamoja Ndugu Emmanuel Kalobelo anayekuwa Naibu Katibu mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia na ndugu Tixon Nzunda nayekuwa Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.Katika hafla hiyo Rais Kikwete amemwapisha Mhandisi Madeni kipande kuwa katibu Tawala wa mkoa wa Katavi...

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo 10 yanayolazimisha mtu awe na kitambi

Miongoni mwa maswali ya wasomaji wetu ni juu ya watu ambao wametumia njia mbalimbali ili kuondoa uzito au unene kupita kiasi bila mafanikio. Leo daktari wetu atajadili hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani