Katibu wa RAAWU aifagilia UPL
NA MWANDISHI WETU
KATIBU wa Chama Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Elimu ya Juu, Utafiti na Habari (RAAWU), Kanda ya Mashariki, Mecki Kimoni, ameipongeza Uhuru Publications Ltd (UPL), kwa kuboresha magazeti yake ya Uhuru, Mzalendo na Burudani.
Amesema magazeti hayo yameboreshwa kwa kiwango kikubwa na kuwavutia wasomaji katika maeneo mbalimbali nchini, zikiwemo ofisi za taasisi yake.
Kimoni alisema hayo katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa UPL, kilichofanyika juzi jijini Dar es...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
5 years ago
Kawowo Sports21 Mar
Why UPL fixtures remain unaffected by Coronavirus
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-nKbpycSWjZ4/UwsQgFil93I/AAAAAAAFPNM/yOhZR7m14nE/s72-c/New+Picture+(11).png)
WANACHAMA WA RAAWU HESLB WAKUTANA
Akifungua semina hiyo ya siku mbili kwa wanachama wa RAAWU tawi la HESLB, Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa...
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Raawu yawajia juu wajumbe 201
KATIBU wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Utafiti na kazi nyinginezo (Raawu) Mkoa wa Dodoma, Ramadhan Mwendwa, amewashambulia baadhi ya wajumbe wa kundi la 201 kukaa...
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Serikali ihojiwe kukithiri rushwa nchini- Raawu
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Serikali ijali wafanyakazi kwa vitendo — RAAWU
KATIBU wa Chama cha Wafanyakazi wa taasisi za Elimu ya Juu, Habari, Ufundi na Utafuti (RAAWU) Mkoa wa Dodoma, Ramadhan Mwendwa, ameitaka serikali kutumia vema Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi)...
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
RAAWU yakerwa na mawaziri waliowaalika chakula kundi la 201
KATIBU wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti (RAAWU), mkoani Dodoma, Ramadhan Mwendwa, amewashambulia mawaziri waliohusika kuwaita wajumbe wa kundi la 201 nyumbani kwao kwa...
11 years ago
Mwananchi24 Jun
Mangula aifagilia Ukawa
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Mchechu aifagilia taasisi ya Nkwamira
MKURUGENZI wa Shirika la Nyumba nchini (NHC), Nehemiah Mchechu, ameahidi ushirikiano wa bega kwa bega na Taasisi inayojishughulisha na utoaji wa misaada ya elimu (Nkwamira), kusaidia wanafunzi kuweza kupata vitabu....
9 years ago
Habarileo31 Dec
Nape aifagilia Home Coming
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ameipongeza kampuni ya Alkamest Media kwa kuandaa filamu ya Homecoming kwa kiwango cha kimataifa.