Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mangula aifagilia Ukawa

>Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula amevipongeza vyama vya upinzani kwa kuungana na kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) akisema hatua hiyo itawafanya kuwa na nguvu zaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mangula- Ukawa hawana jipya

MAKAMU Mwenyekiti Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula amesema, hatua ya vyama vya upinzani vya kundi linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuungana rasmi , Dar es Salaam si jambo jipya.

Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana, Mangula alisema hii si mara ya kwanza kwa vyama hivyo kuungana na kwamba hatua hiyo haitaweza kubadilisha uwezo wa chama tawala cha CCM.

Alisema mwaka 2000 waliungana katika viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam na kurusha...

 

11 years ago

Habarileo

Mangula asubiri Ukawa wajibu hoja za kuhongwa mabilioni

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Phillip MangulaMAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Phillip Mangula, amesema vyama vinavyounda Umoja wa Katiba Tanzania (Ukawa), vinasubiriwa kujibu tuhuma zinazokabili umoja huo, za kuhongwa mabilioni ya Shilingi, ili wasihudhurie katika Bunge Maalumu la Katiba, linalotarajiwa kuanza mwanzoni mwa Agosti mwaka huu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mchechu aifagilia taasisi ya Nkwamira

MKURUGENZI wa Shirika la Nyumba nchini (NHC), Nehemiah Mchechu, ameahidi ushirikiano wa bega kwa bega na Taasisi inayojishughulisha na utoaji wa misaada ya elimu (Nkwamira), kusaidia wanafunzi kuweza kupata vitabu....

 

9 years ago

Habarileo

Nape aifagilia Home Coming

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ameipongeza kampuni ya Alkamest Media kwa kuandaa filamu ya Homecoming kwa kiwango cha kimataifa.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Katibu wa RAAWU aifagilia UPL


NA MWANDISHI WETU
KATIBU wa Chama Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Elimu ya Juu, Utafiti na Habari  (RAAWU), Kanda ya Mashariki, Mecki Kimoni, ameipongeza Uhuru Publications Ltd (UPL), kwa kuboresha magazeti yake ya Uhuru, Mzalendo na Burudani.
Amesema magazeti hayo yameboreshwa kwa kiwango kikubwa na kuwavutia wasomaji katika maeneo mbalimbali nchini, zikiwemo ofisi za taasisi yake.
Kimoni alisema hayo katika  kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa UPL, kilichofanyika juzi jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

RAIS JK AIFAGILIA MAGEREZA DAY

Rais Dk. Jakaya Kikwete akipokea heshima ya Wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Viwanja  vya Chuo cha Maofisa Magereza kilichopo Ukonga jijini Dar. Rais JK akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili. Rais JK akiangalia vikosi mbalimbali vya Jeshi la Magereza.…

 

10 years ago

Michuzi

BOSI WA PPF WILLIAM ERIO AIFAGILIA BENKI YA CRDB

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni za wastaafu PPF, Bw.William Erio ameipongeza benki ya CRDB kwa kuendelea kuwa benki bora yenye huduma nzuri zaidi hapa nchini. Bw. Erio aliyasema hayo jijini Arusha  katika hafla ya chakula cha jioni kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa PPF iliyofanyika katika hoteli ya Naura Springs. Mkurugenzi huyo alisema kuwa Shirika lake lina faraja kubwa kuona benki ya CRDB ambayo PPF ni mmoja ya wanahisa wake wakuu, ikiendelea vizuri na kufikia viwango vya...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba aifagilia UTT Microfinance

 Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wakuu wa Taasisi ya kifedha ya UTT Microfinance, baada ya kukata utepe kuzindua taasisi hiyo, Dar es Salaam jana. Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Bw. Mwigulu Nchemba (wa pili kushoto), akikata utepe kuzindua rasmi Taasisi ya huduma za Kifedha ya UTT Microfinance, Dar es Salaam jana. Wa pili Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi Balozi Fadhili Mbaga na Mtendaji Mkuu wa UTT, Bw. James Washima (kushoto).Naibu ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani