Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mangula- Ukawa hawana jipya

MAKAMU Mwenyekiti Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula amesema, hatua ya vyama vya upinzani vya kundi linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuungana rasmi , Dar es Salaam si jambo jipya.

Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana, Mangula alisema hii si mara ya kwanza kwa vyama hivyo kuungana na kwamba hatua hiyo haitaweza kubadilisha uwezo wa chama tawala cha CCM.

Alisema mwaka 2000 waliungana katika viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam na kurusha...

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mangula aifagilia Ukawa

>Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula amevipongeza vyama vya upinzani kwa kuungana na kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) akisema hatua hiyo itawafanya kuwa na nguvu zaidi.

 

11 years ago

Habarileo

Bulembo: Ukawa hawana nia njema

MWENYEKITI wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo amewataka wananchi wa hapa kutounga mkono muundo wa serikali tatu.

 

11 years ago

Habarileo

Mangula asubiri Ukawa wajibu hoja za kuhongwa mabilioni

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Phillip MangulaMAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Phillip Mangula, amesema vyama vinavyounda Umoja wa Katiba Tanzania (Ukawa), vinasubiriwa kujibu tuhuma zinazokabili umoja huo, za kuhongwa mabilioni ya Shilingi, ili wasihudhurie katika Bunge Maalumu la Katiba, linalotarajiwa kuanza mwanzoni mwa Agosti mwaka huu.

 

9 years ago

StarTV

Mdahalo wa wagombea Ukawa wadai hawana muda kwa sasa

Umoja wa Vyama vinavyounda Ukawa umesema kwa sasa haupo tayari kushiriki midahalo inayoandaliwa na Taasisi za Kijamii kwa wakati ni huu na kupinga kauli iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania, Kajubi Mukajanga kuwa amewapa mwaliko si kweli.

Ukawa wamesema, si kweli kwamba wamepata mwaliko kutoka MCT na kudai kuwa kauli ya kiongozi huyo wa chombo kinachoheshimika ni ya upotosha. 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti mweza wa Umoja wa Ukawa,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mangula: Kanuni zitawameza

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula amesema kanuni za uchaguzi za chama hicho zitawameza makada wake wanaotumia fedha kuwanunua wapigakura kama maandazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkosamali amlipua Mangula

MBUNGE wa Muhambwe mkoani hapa, Felix Mkosamali (NCCR Mageuzi), amemlipua Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula akidai kuwa ameondoka katika hoteli aliyofikia bila kulipa pango. Akihutubia mamia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mangula amtosa Lowassa

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula, amemtosa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa katika harakati zake za kuwania urais. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Mbeya jana, Mangula...

 

10 years ago

Habarileo

Mangula ‘asaka’ wasaliti CCM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula (kushoto), akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCMMAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula amemaliza ziara yake katika majimbo ya Mkoa wa Dar es Salaam, na kuagiza kila mwanachama awe mlinzi wa mwenzake, amchunguze ili kuepuka wasaliti.

 

5 years ago

Michuzi

MANGULA ALIA NA AMANI YA TANZANIA


MbungewaJimbo la Manyoni Mashariki Mhe. Danieli Mtuka aliyenyanyua mikono akitoa ufafanuzi kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philipo Japhet Mangula (mwenyemiwani) wakati alipotembelea kwenye mradi mkubwa washamba la pamoja la Korosho lenye zaidi ya ekari 12000 eneo la Masagati Manyoni Mkoani Singida leo kulia kwa Mangula ni Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Rahabu Jackson Mwagisa (pichana John Mapepele)

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani