Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mangula amtosa Lowassa

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula, amemtosa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa katika harakati zake za kuwania urais. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Mbeya jana, Mangula...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lowassa amtosa binti wa Sokoine

lowassa akivishwa

*Amtaka amfuate Ukawa au amsamehe

*Atangaza atakuwa dikteta wa maendeleo

Na Fredy Azzah, Monduli

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ambaye anaungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana alitangaza kuitua mbeleko aliyokuwa akimbebea Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Monduli, Namelok Sokoine.

Vyama vinavyounda Ukawa ni pamoja na Chadema yenyewe, Chama cha Wananchi (CUF), NCCR-Mageuzi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa, Sumaye, Ngeleja wajieleza Kamati ya Mangula

>Waliowahi kuwa Mawaziri Wakuu; Edward Lowassa na Frederick Sumaye jana walifika mbele ya Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM kutoa maelezo juu ya tuhuma za kufanya kampeni za urais kabla ya wakati

 

10 years ago

Mtanzania

Jaydee amtosa Gardner

lady jay deeNa Waandishi Wetu

MTANGAZAJI maarufu wa redio, Gardner G. Habash kwa mara ya kwanza amefichua ukweli wa makubaliano waliyofikia na mwanamuziki maarufu nchini, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ya kutozungumza na vyombo vya habari kuhusu taarifa zinazodai kuvunjika au kutengana kwao kindoa.

Wakati Gardner akisita kueleza bayana kuhusu taarifa za kutengana kwake na Jide, taarifa ambazo gazeti hili limezithibitisha zinaeleza kwamba tayari mwanamuziki huyo ameshamuondoa ‘mumewe’ huyo katika nafasi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Yanga amtosa Adebayor

Kocha wa zamani wa Yanga, Tom Saintfiet amesisitiza hawezi kumuita katika kikosi chake cha timu ya Taifa ya Togo, mshambuliaji wa Tottenham, Emmanuel Adebayor.

 

10 years ago

GPL

ISHU YA KUTOKA NA BLATTER, COOPER AMTOSA IRINA

Mpenzi wa modo Classic, Irina Shayk, Bradley Cooper. Zurich, Uswiss
SIKU chache baada ya kuhusishwa kutoka kimapenzi wa aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter, mpenzi wa modo Classic, Irina Shayk, Bradley Cooper ameonekana kumpiga chini kwenye sherehe za utoaji tuzo. Bradley Cooper akiwa na mpenzi wake Irina Shayk.
Irina alidumu kwenye uhusiano na mshambuliaji wa Real… ...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MRISHO MPOTO: MANJI AMUOMBA KUGOMBEA UBUNGE, AMTOSA

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale alipoanika baadhi ya mali zake na pia akaelezea kwa kina kuhusiana na shamba alilolitenga la ekari 35 kwa ajili ya kusaidia vijana kimuziki. Songa nayo sasa... Kwa nini Mrisho huwa hupendi kumwanika mkeo?
(anacheka, anatikisa kichwa...) “Kikubwa ni kwamba mke wangu ni mtu ambaye tunafahamiana sana tangu kitambo (sijawa na jina) alikuwa na...

 

9 years ago

Vijimambo

Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi


MAGUFULI AMTOSA CHENGE BARIADI.Katika kile ambacho wachunguzi wa mambo ya kisiasa wamekiita tukio la kimapinduzi na mwanzo wa mabadiliko mapya ndani ya CCM, Mgombea wa Urais kwa ticket ya CCM Dr. John Magufuli amefanya kile ambacho Rais Jakaya Kikwete na Edward Lowassa wameshindwa, kumtosa Andrew Chenge hadharani.Mwanasheria huyo mkuu wa zamani ambaye anahusika kwenye kashfa mbalimbali zilizozikumba taifa hili, ambaye ndio alikuwa mratibu wa kampeni za Urais za Edward Lowassa alipokuwa CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkosamali amlipua Mangula

MBUNGE wa Muhambwe mkoani hapa, Felix Mkosamali (NCCR Mageuzi), amemlipua Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula akidai kuwa ameondoka katika hoteli aliyofikia bila kulipa pango. Akihutubia mamia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani