BOSI WA PPF WILLIAM ERIO AIFAGILIA BENKI YA CRDB
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni za wastaafu PPF, Bw.William Erio ameipongeza benki ya CRDB kwa kuendelea kuwa benki bora yenye huduma nzuri zaidi hapa nchini. Bw. Erio aliyasema hayo jijini Arusha katika hafla ya chakula cha jioni kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa PPF iliyofanyika katika hoteli ya Naura Springs. Mkurugenzi huyo alisema kuwa Shirika lake lina faraja kubwa kuona benki ya CRDB ambayo PPF ni mmoja ya wanahisa wake wakuu, ikiendelea vizuri na kufikia viwango vya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAKISHIRIKI MICHEZO MBALIMBALI KATIKA SIKU YA FAMILIA YA CRDB
Watoto wakifurahia michezo mbalimbali katika viwanja vya Olasiti Garden
leo katika sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo hufanyika kila mwaka
na kuhudhuriwa na familia za wafnayakazi wa benki pamoja na familia za
wateja.
KWA PICHA...
10 years ago
MichuziBENKI YA UWEKEZAJI YA ULAYA (E.I.B), YAIPIGA JEKI BENKI YA CRDB
Akizungumza jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei alisema benki yake kwa kushirikiana na EIB imeamuwa kusaidia jamii nchini hivyo mkataba huo ni mwanzo wa ushirikiano endelevu utakaohamasisha upatikanaji wa ajira.
Alisema kufanyakazi na benki ya EIB...
9 years ago
Dewji Blog06 Oct
Benki ya CRDB yampa tunzo Mohammed Dewji ‘MO’ kwa ushiriki mkubwa wa benki hiyo katika wiki ya huduma kwa wateja
Meneja wa Benki ya CRDB wa tawi la Water Front, Donath Shirima akimpa tunzo pamoja na barua ya kumshukuru Afisa Mtendaji mkuu wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa ni mshiriki mkubwa wa benki ya CRDB katika tawi la Water Front wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi za MeTL GROUP, jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji mkuu wa Mohammed enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mo dewji akionyesha barua ya...
10 years ago
Habarileo11 Sep
Ziara ya bosi Benki ya Dunia leo
MKURUGENZI Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Sri Mulyani Indrawati, anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi kuanzia leo mpaka Jumapili ijayo, Septemba 14, ambayo ni ya kwanza kwake tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo Juni, 2010.
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VNRnqIGxkTQ/U7Vcgga8gLI/AAAAAAAFumg/ZLKLAMM8yo8/s72-c/unnamed+(45).jpg)
CRDB WAFUNGUA HUDUMA ZA BENKI BABATI
Wananchi wa Mkoa wa Manyara, wametakiwa kutumia fursa ya kuwepo kwa huduma ya benki ya CRDB Tawi la Babati, kwa kujiwekea akiba na kuchukua mikopo kwa lengo la kujinufaisha kiuchumi na kuongeza pato la Taifa.
Mkuu wa mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo aliyasema hayo wakati wa zoezi la benki ya CRDB tawi la Babati, lilipoanza kutoa huduma ya fedha kwa wateja wake na yeye kuwa mtu wa kwanza kuweka fedha kwenye tawi hilo.
Mbwilo aliwataka wananchi wa mkoa huo kufungua...
10 years ago
Vijimambo16 Oct
MAMALAMIKO KUHUSIANA NA CRDB KADI ZA BENKI
"Ndugu zangu Mimi ni mdau mkubwa wa Blog yenu naomba kutoa kilipo changu Kuhusu Card za ATM za Benki ya CRDB.Nipo Uk mjini Birmingham na Leo ni Siku ya 16 nashindwa kutoa fedha kwa kutuma Card yangu.Nimemtuma mtoto ameenda Kijitonyama CRDB ulipo akaunti yangu bila...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/PimHyVIfXWM/default.jpg)