Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAULI NZURI NDIYO MSINGI WA MAPENZI BORA!

Ni matumaini yangu kwamba mpenzi msomaji wangu uko poa na unaendelea na majukumu yako kama kawaida. Ni Ijumaa nyingine tunapokutana katika busati letu la mahaba, tukijuzana mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi baina yako na mkeo/mumeo, mchumba au mpenzi. Leo napenda tujadiliane kuhusu umuhimu wa kuchagua kauli nzuri na mazungumzo bora unapokuwa na mwenzi wako, bila kujali mpo sehemu gani.Utafiti wa wataalamu wa mapenzi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAULI NZURI NDIYO MSINGI WA MAPENZI!BORA! 2

Wiki iliyopita, tulianza kujadili jinsi kauli nzuri zinavyoweza kujenga au kubomoa penzi lako. Unachopaswa kuzingatia katika maisha yako ya kila siku, ni kuchunga kauli zako uwapo na mwenzi wako.Kauli mbaya, hata kama ni ndogo namna gani, inaweza kusababisha mwenzi wako akakuchukia na kupunguza kabisa mapenzi kwako. Pia kauli nzuri, mazungumzo ya kufurahisha na ya busara, yana uwezo mkubwa wa kuboresha mapenzi na kumvuta zaidi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Huu Ndiyo Mtazamo wa Shamsa Juu ya ‘Mapenzi ni Kupetipeti au Mapenzi ni Pesa’

Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.

Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni,  Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao ikiwa

“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote...

 

10 years ago

GPL

KAULI NDIYO SILAHA PENZINI

KARIBUNI kwa mara nyingine katika safu yetu maridhawa ya All About Love. Kwa mtu anayejali, lazima atakuwa akipata vitu vinavyoweza kumsaidia katika maisha yake ya kimapenzi anayoishi.Tunajua changamoto nyingi zilizopo katika mambo yetu haya ya uhusiano. Mapenzi, pamoja na utamu wake, lakini hakuna kitu hatari kama hiki katika maisha kinachoweza kukuharibia ndani ya muda mchache kuliko unavyofikiri. Watu wanamwagiana maji ya...

 

9 years ago

Michuzi

DKT MAGUFULI ALIVYOITEKA MUSOMA, ASEMA MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa...

 

9 years ago

Michuzi

MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO-DKT MAGUFULI

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hii ndiyo kauli ya Klopp kuhusu Gerrard kurejea au kutorejea Liverpool

steven-gerrard-jurgen-klopp_3383496

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kumekuwepo kwa taarifa mbalimbali zilizokuwa zikimuhusisha mchezaji wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anachezea klabu ya LA Galaxy ya Marekani, Steven Gerrard ambaye kwa sasa yupo mapumzikoni kwao Wingereza.

Baada ya tetesi kuzidi kusambaa hatimaye kocha wa Liverpool, Judgen Klopp amefunguka kuhusu Gerrard kama atarudi kuchezea Liverpool kwa mkopo au ataendelea kufanya mazoezi pekee na kikosi cha majogoo hao.

Kupitia kituo cha tv cha Sky Sports, Klopp...

 

9 years ago

Vijimambo

HII NDIYO YANGA SC INA KIKOSI BORA ‘KILICHOSHIBA’


Mlinzi wa kati wa Yanga Vicent Bosou ambaye amecheza kwa dakika zote 90 kwa mara ya kwanza wakati Yanga ikicheza dhidi ya Toto Africans 
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam
Licha ya wachezaji wake kuendelea kuendelea kukosa kujiamini wapatapo ‘mkwaju wa penati’, washambuaji wa Yanga SC ameendelea kufunga magoli ya kutosha na kujikita katika kilele cha msimamo. Mlinzi wa kulia, Juma Abdul alifunga goli ‘maridadi’ la mkwaju wa mita zisizopungua 23 mapema dakika ya 9’ wakati Yanga ikicheza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani