Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAULI YA WEMA YALIZA WENGI. Aweka wazi kuwa hawezi kupata mtoto.

Kupitia page yake ya mtandao mmoja wa kijamii, LEO mwanadada wema Sepetu ameamua kuvunja ukimya kwa kuamua kuweka wazi kuwa hana uwezo wa kushika ujauzito... hichi ndicho alichosema!

“…Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But sina... Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.... Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe... Is dat wat u want...? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze... Au mnadhani...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA YA WEMA SEPETU AKIWA HOSPITALI YASHUA WENGI. WENGI WAULIZA KAMA NDO AMEANZA MATIBABU YA KUPATA MTOTO


The socialite, The Actress kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatatizo la kutozaa kwa muda mrefu na angetamani siku moja kupata mtoto wamejitokeza madakatari wengi na kutaka kumtibu.Lakini kabla ya kuanza kumtibu amewapa angalizo kwamba wakati anaanza kutiwa akawa na mwenza wake kabisa ambae wwatukuwa wamekubaliana pale tatizo litakapokuwa limeisha tu basi mara moja waweze kupata mtoto..Hilo ndilo angalizo la Wema Sepetu ambae anatamani sana...

 

10 years ago

Bongo5

Jaguar aweka wazi ukweli wa picha za ‘harusi’ yake zilizowashtua wengi

Wiki iliyopita mwimbaji wa ‘Kioo’, Jaguar kutoka Kenya alitawala vichwa vingi vya habari nchini Kenya baada ya baadhi ya picha zake zikimuonesha yuko kanisani akitimiza moja ya hatua muhimu katika maisha ya mwanadamu (ndoa). Baadhi ya vichwa vya habari hiyo vilisomeka ‘Jaguar holds secret wedding in South Africa?’, ‘Jaguar weds in South Africa’. Hata hivyo […]

 

11 years ago

Bongo5

Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9

Power couple ya Tanzania, Diamond Platnumz na Wema Sepetu ndio inayoongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram. Hii ni orodha kamili (July 31,2014) 1.Diamond Platnumz 183,205 2.Wema Sepetu 168,954 3.Elizabeth ‘Lulu’ Michael 129,047 4.Jokate Mwegelo 102,168 5.Millard Ayo 102,068 6.Jacqueline Wolper 99,545 7. Ommy Dimpoz 95,415 8.Aunty Ezekiel 94,379 9.Kajala 88,769 […]

 

9 years ago

Bongo5

Bushoke aweka wazi kuwa wimbo wa ‘Mume Bwege’alipewa na mtu

Bushoke ni miongoni mwa waimbaji na watumbuizaji wazuri waliowahi kukamata chati nyingi za muziki miaka kadhaa iliyopita kupitia hits zake mbalimbali ikiwemo ‘Mume Bwege’. Kitu ambacho huenda mashabiki wengi walikuwa hawakifahamu ni historia ya wimbo huo ambao mpaka leo Bushoke akiuimba kwenye matamasha huwa unapata shangwe nyingi sana. Bushoke amesema kuwa idea ya wimbo huo […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi

mabomba ya gesi

Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%)  wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.

Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki Ndio Chazo cha Wema Kufunguka Kuwa Uwezo Hana Wakupata Mtoto

Hivi juzi kati staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu aliandika kupitia ukursa wake mtandaoni akilelezea machungu aliyonayo kwa kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto lakini yote kamuachia Mungu hii ni kutokana na watu kumuandama sana mtandaoni kuhusu swala hilo. Sakata zima lilianzia hapa.

Wema kupitia ukurasa wake mtandaoni alimpongeza staa mwenzake Hamisa Mobeto kwa kujifungua mtoto kwa kubandika picha hiyo hapo juu ana kuandika;

“They say u are nat yet a woman Until you experience...

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa aweka wazi utajiri wake

>Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema madai kwamba yeye ni tajiri hayana ukweli wowote. Amesema yeye ni mfugaji na anamiliki ng’ombe zaidi ya 800 katika Jimbo la Monduli, mkoani Arusha.

 

11 years ago

Mwananchi

Kardinali Pengo aweka wazi msimamo wa Kanisa

Siku mbili baada ya Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kutoa waraka wa kulitaka Bunge Maalumu la Katiba kutopuuza mapendekezo ya muundo wa serikali tatu, Askofu Mkuu wa Jimbo Mkuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka na kusema msimamo huo siyo wa Kanisa Katoliki nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani