Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kawawa ahofia PSPF kupata hasara

MBUNGE wa Viti Maalumu, Zainab Kawawa (CCM), amesema kuwa endapo serikali haitalipa deni lake la sh bilioni 250 kwa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), iko hatari mfuko...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Kardashian ahofia kupata kisukari

kim-kardashianNEW YORK, MAREKANI

MKE wa Kanye West, Kim Kardashian, amehofia kupata ugonjwa wa kisukari kutokana na ulaji wake wa ovyo wa vyakula vya aina mbalimbali kipindi hiki cha ujauzito wake.

Mrembo huyo anatarajia kupata mtoto wa pili kabla ya Desemba 26.

“Ninaamini nina afya njema, lakini kuna wakati najikuta nakula bila mpangilio hivyo naweza kupata ugonjwa wa sukari, ninaamini hali hii inatokana na ujauzito na ndiyo maana muda mwingi natamani kula,” alisema Kim.

Hata hivyo, mrembo huyo atakuwa...

 

10 years ago

Michuzi

MH. ZAINABU KAWAWA AMUENZI HAYATI MZEE KAWAWA KWA VITENDO

Na Mdau Sixmund J.BMh Zainabu Kawawa ameamua kuendelea kumuenzi kwa vitendo aliekuwa mmoja wa wahasisi wa Taifa letu Marehemu Baba yake Mzee Rashidi Mfaume Kawawa, kwa kuikarabati shule ya msingi aliyo soma Mzee Kawawa. 
Akiwa wilayani Liwale alipokulia na kusomea Marehemu Mzee Kawawa, Mh Zainabu aliwatembela wazee mbali mbali waliokuwa marafiki wa Mzee Kwawa ili kuwawajulia hali na kusikia mitazamo yao ya Liwale ya sasa nakipindi walipo kuwa na Marehemu Mzee Kawawa. 
Wakitoa mitazamo yao Mzee...

 

9 years ago

StarTV

Tanesco watangaza kupata hasara ya Shilingi milioni 200 kutokana na Wizi Wa Umeme

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limepata hasara ya zaidi ya shilingi milioni 200 kwa wateja wake zaidi ya 50 waliojiunganishia Umeme kinyume cha sheria kwenye maeneo ya Msasani, Kigamboni na Oysterbay Jijini Dar Es Salaam hali ambayo imesababisha kushuka kwa ufanisi wa utendaji kazi wa shirika hilo.

Katika operesheni ya kukagua nyumba zilizojiunganishia umeme kinyume cha sheria shirika hilo limekagua jumla ya nyumba 2,200 katika kipindi cha wiki moja na kubaini madudu hayo.

Katika...

 

10 years ago

GPL

MH.HAMAD RASHID AWAASA WANAFUNZI KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ILI KUPATA MIKOPO YA ELIMU NA YA KUANZIA MAISHA

Mgeni rasmi Hamad Rashid ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Wawi kupitia CUF akizunguza na wanafunzi walioudhuria kwenye siku ya Career Day iliyofanyika kwenye viwanja vya chuo cha Biashara (CBE) jijini Dar es Salaam. Rais wa Serikali ya Wanafunzi Katika Chuo cha Biashara,(CBE),Ramadhani S Kirungi akiwakaribisha wageni mbalimbali katika siku ya "CAREER DAY" iliyofanyika katika viwanja vya Chuo hicho Jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

MH.HAMAD RASHID AWAASA WANAFUNZI KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ILI KUPATA MIKOPO YA ELIMU NA MIKOPO YA KUANZIA MAISHA

Mgeni rasmi Hamad Rashid ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Wawi kupitia CUF akizunguza na wanafunzi walioudhuria kwenye siku ya Career Day iliyofanyika kwenye viwanja vya chuo cha Biashara (CBE) jijini Dar es SalaamRais wa Serikali ya Wanafunzi Katika Chuo cha Biashara,(CBE),Ramadhani S Kirungi akiwakaribisha wageni mbalimbali katika siku ya "CAREER DAY" iliyofanyika katika viwanja vya Chuo hicho Jijini Dar es salaamAfisa wa PSPF Hadji Jamadary akiwa anafafanua na kuelezea  kuhusu na...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Kabaka atembelea Banda la PSPF sabasaba, Mrisho Mpoto ajiunga PSPF

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akimpa maelezo, Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Jumatatu Julai 7, 2014.Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), akimkabidhi kadi ya uanachama wa Mfuko huo, Mwanachama Mpya, Msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto (Katikati), kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam...

 

10 years ago

GPL

BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA

  Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza…

 

10 years ago

GPL

NISHA AHOFIA UZEE

GLADNESS MALLYA/mchanganyiko11 MSANII wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye alitumia muda wake mwingi katika maisha yake ya ujana kwa  kujirusha, amesema sasa yatosha na kwamba huu ni muda muafaka kutengeneza maisha yake ya baadaye. Msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akipiga stori na gazeti hili, Nisha alisema kwa sasa ameamua kuachana na maisha hayo kwa vile umri unakwenda na ni vyema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani