Kaya nyingi Dar hazina vyoo
JIJI la Dar es Salaam limeonekana kinara kwa kaya za wakazi wake kutokuwa na huduma ya choo. Taarifa ya msingi ya kidemografia, kijamii na kiuchumi imeonyesha kuwa jiji hilo linashika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV28 Dec
Zaidi ya nyumba 620 Wete Zanzibar hazina vyoo
Zaidi ya nyumba 620 za mji wa Wete visiwani Zanzibar hazina vyoo ama mfumo rasmi wa kutoa majitaka jambo ambalo linachangia vinyesi kuzagaa ovyo na kusababisha maradhi ya kipindupindu.
Hadi sasa wagonjwa 18 wanaendelea na matibabu katika kambi ya kipindupindu ambapo mtu mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa huo.
Katika zoezi la usafi kwenye Mtaa wa Kizimbani Wete eneo ambalo limetoa mgonjwa wa kwanza wa kipindupindu msimu huu, Katibu wa baraza la mji wa Wete Mgeni Othuman Juma...
11 years ago
Michuzi14 Feb
Redio nyingi hazina habari za usawa wa kijinsia - Umoja wa Mataifa
![DSC_0010](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0010.jpg)
Mshehereshaji Meneja wa Maadili wa Baraza la Habari Tanzania( MCT), Bw. Allan Lawa, akiwakaribisha wageni waalikwa kwenye maadhimisho ya siku ya Redio Duniani yaliyofanyika Kitaifa mkoani Dodoma. Maadhimisho hayo yameandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) na kufadhiliwa na UNESCO.
Na Mwandishi Wetu, Moblog Tanzania, Dodoma UMOJA wa Mataifa umesema kwamba bado redio nyingi duniani ziko nyuma katika kuhabarisha habari za usawa wa jinsia na sauti za wanawake na wasichana hazipati nafasi...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0010.jpg)
UMOJA WA MATAIFA: REDIO NYINGI HAZINA HABARI ZA USAWA WA KIJINSIA
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA VYOO MANISPAA YA SHINYANGA..AKUTANA NA VYOO VYA AJABU...KIMO CHA KULENGA KWENYE BOMBA
Hiki choo cha ajabu kiko Shinyanga maelezo yapo chini.Leo Jumatatu Novemba 30,2015 ambapo mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameanza kufanya ziara kutembelea kata za manispaa hiyo ili kuangalia hali ya usafi wa mazingira kubwa zaidi ni kukagua vyoo vya wananchi ilimkukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.Mkuu huyo wa wilaya ya Shinyanga alikuwa ameambatana na mkurugenzi wa manispaa ya Shinyanga Lewis Kalinjuna,mwanasheria wa manispaa hiyo Simon Jilanga,afisa afya wa manispaa hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Kunani vyoo kumbi za burudani Dar ?
SEHEMU inayoitwa choo ni sehemu muhimu kwa maisha ya kila siku ya binadamu na ndiyo maana kuna usemi kuwa, nyumba bila choo haijakamilika. Lakini, maana halisi ya choo ni zaidi...
9 years ago
MichuziNHIF YAJA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA KAYA KWA KAYA
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Vyoo vya ‘passport size’ dili Dar es Salaam
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Kaya 19 zilizopo katika mpango wa kunusuru kaya maskini zakosa malipo yao Manyoni
Baadhi ya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini wa Kijiji cha Sukamahela, tarafa ya Kilimatinde waliokosa malipo yao licha ya kuwa na taarifa na fomu za kupokelea malipo hayo, na kujikuta wakikaa kwa muda wa zaidi ya saa tano wakisubiri kuitwa wakapokee malipo hayo.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Stephen Chilewa Mgusi (wa kwanza kutoa kulia), Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Ernesti Gyunda Kitundu (wa pili kutoka kulia) na Mwezeshaji wa TASAF wilaya ya...