Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Keissy wa CCM atoa ‘salary slip’ mkutano wa ACT-Wazalendo

Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), aliyemaliza muda wake, Ally Keissy jana aliibuka kwenye mkutano wa kampeni wa chama cha ACT-Wazalendo na kupinga maelezo kwamba mshahara wake wa ubunge ni zaidi ya Sh10 milioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA ACT WAZALENDO JIMBO LA MOROGORO MJINI LEO

Wanachama  ACT  wazalendo la  wananchi  wa   jimbo la  Morogoro  mjini wakiwa katika mkutano  wa ACT wazalendo leo



viongozi  wa  kitaifa  wa ACT  wazalendo  wakiimba  wimbo wa  Taifa  kabla ya  kuanza  mkutano  wa  hadhara  jimbo la  Morogoro  mjini  leoWanachama  wa  ACT  wazalendo  wakiimba  wimbo wa  Taifa  leo.
Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

MAMIA WAHUDHURIA MKUTANO WA ACT-WAZALENDO MKOANI MWANZA

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mwanza kwenye viwanja vya Furahisha jijini humo. (Picha na Said Powa)
 Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa ACT-Wazalendo.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Katiba ya ACT-Wazalendo Kama Ilivyopitishwa Na Mkutano Mkuu 29Machi15

Alliance for Change and Transparency

(ACT-Wazalendo)

Chama cha Wazalendo

KATIBA

TOLEO LA 2015

View this document on Scribd

 

9 years ago

Mwananchi

Wanachama CCM watimkia ACT- Wazalendo

Zaidi ya wanachama 100 kutoka CCM, Kata ya Chihanga, Manispaa ya Dodoma wamejiunga na ACT- Wazalendo.

 

5 years ago

Michuzi

CCM YAVUNA VIGOGO CUF NA ACT WAZALENDO

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Tandahimba kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) Selemani Bakari Namkulya Pamoja na Mwenyekiti Chama Cha ACT Wazalendo Juma Halidi Mngawa leo Jumamosi Juni 6, 2020 wametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapunduzi (CCM) kutokana na kuvutiwa na maendeleo ambayo Wananchi wamekuwa wakiyahitaji kwa muda mrefu yakitekelezwa na Rais Magufuli hivyo hawaoni sababu ya kuendelea kubaki huko zaidi ya kurudi kuungana na Rais Magufuli kuleta maendeleo kwa Watu.

"Nikiwa na...

 

10 years ago

CloudsFM

ACT-Wazalendo Kuvuna Wabunge Kutoka CCM na CHADEMA

Baada ya vumbi la uchaguzi mkuu kuanza kumtika tumeona kura za maoni zinazoendelea kupigwa kutoka Chadema na CCM kwenye kila jimbo.

Chadema wanachagua wagombea ili baadae watakapokubaliana na wenzao CUF, NCCR Mageuzi, NLD, itabidi baadhi ya Majimbo wapewe vyama hivyo ambavyo vipo kwenye umoja huo UKAWA.

Na hapo ndiyo utazuka mgogoro mkubwa wa baadhi ya wagombea ambao majimbo yao watapewa UKAWA, hapo ndipo ACT-Wazalendo watakapojipatia wagombea wanaokubalika na kuwasimamisha kama wagombea wa...

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHAPATA MAAFA KIGOMA, MADIWANI WAKE WATANO WANG'OKA NA KUHAMIA CCM, LEO

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kagera katika Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe, Ismail Mahamudu  akizungumza mbele ya waandishi wa habari, baada ya yeye na madiwani wengine wanne wa chama hicho, kutangaza kung'oka ACT-Wazalendo.na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika mkutano na waandishi hao uliofanyika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO‏

 Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu.   Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, ambapo alipinga Msajili wa Vyama Siasa Nchini, Jaji Francis Mtungi kubadilisha jina la chama cha ACT-Tanzania na kuwa ACT-Wazalendo bila ya kufuata utaratibu. Kulia ni Katibu Muenezi wa chama hicho, Fredy Kisena na Katibu Mkuu wa chama...

 

9 years ago

TheCitizen

ACT-Wazalendo yet to get Ikulu candidate

The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo) is holding internal meetings to appoint the party’s presidential flag-bearer for the October 25 General Election.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani