Kenya, Ghana na Gabon zaripoti kesi za kwanza za corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-eNOlZl1sdHA/Xmvv768oGNI/AAAAAAALjBk/3-S_j7kPCaweZYnFSAEqtQcPhpd6FdUzwCLcBGAsYHQ/s72-c/4bpnb4d60ba5d7135bp_800C450.jpg)
Nchi za Afrika za Kenya, Ghana na Gabon zimetangaza kuwepo kesi za watu walioambukizwa ugonjwa wa COVID-19 au corona katika kile kinaachoonekana ni kuenea ugonjwa huo hatari duniani.
Wizara ya afya ya Ghana imesema watu waliorejea kutokea Uturuki na Norway wamepatikana na corona. Naye Waziri wa mawasiliano wa Gabon Edgard Miyakou ametangaza kuwa mtu mmoja amethibitishwa kuambukizwa virusi hivyo nchini humo. Serikali ya Gabon imesema aliyeambukizwa ni kijana mwenye umri wa miaka 27 raia wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Kenya yatangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa mwenye virusi vya corona
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Ghana yapoteza kesi dhidi ya marufuku
5 years ago
BBCSwahili28 May
Virusi vya corona: Watu 147 zaidi waambukizwa corona Kenya
5 years ago
BBCSwahili13 Apr
Virusi vya Corona: Watu 15 wapona corona Kenya, wagonjwa wapya 11
5 years ago
BBCSwahili17 May
Virusi vya corona: Idadi ya Wagonjwa wa corona kenya yafikia 887
5 years ago
BBCSwahili29 May
Virusi vya corona: Watu 127 Wathibitishwa kuambukizwa corona Kenya
5 years ago
BBCSwahili20 Apr
Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa wa corona Kenya yafika 281
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Virusi vya Corona: Idadi ya waliopona corona Kenya yafikia 553
5 years ago
BBCSwahili05 Apr
Virusi vya Corona: Kenya yathibitisha wagonjwa wapya 16 wa corona