Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenyata: Tuungane kukomesha ujangili

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kuungana kukabiliana na ujangili wa wanyamapori unaotishia sekta ya utalii. Kenyata amezitaka nchi hizo kutumia rasilimali zilizopo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ufisadi sasa ni janga, tuungane kuuangamiza kukomesha

Nani anabisha kuwa kuendelea kuichagua CCM ni kuendeleza majanga katika Taifa letu, kama yupo anayebisha basi huyo lazima dhamiri yake itakuwa imekufa.

 

10 years ago

Habarileo

Azimio kukomesha ujangili lapitishwa

Mtaalamu wa Mawasiliano wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Hoyce TemuJUMUIYA ya Kimataifa imepitisha Azimio la Arusha, lenye lengo la kukabiliana na ujangili na kuendeleza wanyama.

 

10 years ago

Michuzi

Vita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa

Kikosi cha kupambana na ujangili nchini kimepata vitendea kazi kutoka kwa wadau wa sekta ya utalii vitakavyowezesha kukabiliana na matukio ya ujangili yaliyoshika kasi nchini na kuhatarisha kutoweka baadhi ya wanyama.
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nini Hatima ya Uhuru Kenyata?

SEPTEMBA  19  mwaka huu Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita  (ICC) iliamuru Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, afike katika mahakama hiyo Oktoba 8 mwaka huu Amri hiyo ilitolewa kwa madai serikali yake...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuungane kudhibiti ajali za barabarani

TUMEKUWA tukiandika maoni kuitaka serikali kuchukua hatua kukomesha ajali za barabarani na tutaendelea kufanya hivyo hadi hapo tutakapoona hatua madhubuti zimechukuliwa kukabiliana na wimbi la ajali, ambazo kila mara zimepoteza...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tuungane kupinga ukatili wa kijinsia’

>Jamii imetakiwa kufanya jitihada za kutosha kuhakikisha vitendo vya ukatili wa kijinsia vinakomeshwa badala ya kuwaachia jukumu hilo wanasiasa pekee.

 

10 years ago

Mtanzania

Kikwete, Kenyata wamaliza mgogoro

Kikwete na Uhuru KenyattaNAIROBI, KENYA
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Rais Jakaya Kikwete wamekubaliana magari ya Tanzania yaruhusiwe kuingia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyata na safari za ndege za Shrika la Ndege la Kenya (Kenya Airways) ziruhusiwe ziendelee na safari zake kama kawaida nchini Tanzania.
Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje wa Kenya, Amina Mohammed, alisema uamuzi huo ulifikiwa jana katika mkutano kati ya Rais Jakaya Kikwete na Uhuru Kenyatta mjini Windhoek Namibia, katika sherehe za maadhimisho...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuungane kwa pamoja kupambana na ukeketaji

Ukeketaji ni miongoni mwa matatizo yanayoukabili mkoa wa Singida. Jambo hili kwa kiasi kikubwa limekuwa likirudisha nyuma maendeleo ya mwanamke na pia hata ustawi wa watoto wa kike kwa ujumla.

 

11 years ago

GPL

UHURU KENYATA: WALIOISHAMBULIA KENYA SI AL SHABAAB

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema mashambullio yaliyotokea katika mji wa Mpeketoni, Pwani ya Kenya hayakufanywa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab bali ni watu wanaoihujumu Kenya. Rais Kenyatta ameyasema hao muda mfupi uliopita wakati akilihutubia taifa la Kenya baada ya mashambulio mawili yaliyotokea Mpeketoni juzi na jana. Rais amewataja pia wanasiasa na baadhi ya maofisa kuhusika katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani