Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete, Kenyata wamaliza mgogoro

Kikwete na Uhuru KenyattaNAIROBI, KENYA
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Rais Jakaya Kikwete wamekubaliana magari ya Tanzania yaruhusiwe kuingia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyata na safari za ndege za Shrika la Ndege la Kenya (Kenya Airways) ziruhusiwe ziendelee na safari zake kama kawaida nchini Tanzania.
Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje wa Kenya, Amina Mohammed, alisema uamuzi huo ulifikiwa jana katika mkutano kati ya Rais Jakaya Kikwete na Uhuru Kenyatta mjini Windhoek Namibia, katika sherehe za maadhimisho...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Moraviani Mbeya wamaliza mgogoro kwa masharti

MGOGORO uliolikumba Kanisa la Moraviani Jimbo la Kusini Magharibi (Mbeya) kati ya waumini na baadhi ya wachungaji dhidi ya askofu wao, Alikisa Cheyo, umemalizika baada ya kufikishana mbele ya Kamati...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nini Hatima ya Uhuru Kenyata?

SEPTEMBA  19  mwaka huu Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita  (ICC) iliamuru Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, afike katika mahakama hiyo Oktoba 8 mwaka huu Amri hiyo ilitolewa kwa madai serikali yake...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kenyata: Tuungane kukomesha ujangili

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kuungana kukabiliana na ujangili wa wanyamapori unaotishia sekta ya utalii. Kenyata amezitaka nchi hizo kutumia rasilimali zilizopo...

 

11 years ago

GPL

UHURU KENYATA: WALIOISHAMBULIA KENYA SI AL SHABAAB

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema mashambullio yaliyotokea katika mji wa Mpeketoni, Pwani ya Kenya hayakufanywa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab bali ni watu wanaoihujumu Kenya. Rais Kenyatta ameyasema hao muda mfupi uliopita wakati akilihutubia taifa la Kenya baada ya mashambulio mawili yaliyotokea Mpeketoni juzi na jana. Rais amewataja pia wanasiasa na baadhi ya maofisa kuhusika katika...

 

10 years ago

Habarileo

ICC yafuta kesi dhidi ya Rais Uhuru Kenyata

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.MAHAKAMA ya kimataifa ya ICC imetupilia mbali kesi ya jinai inayomkabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.

 

10 years ago

Vijimambo

MWANAMUZIKI MAARUFU WA MAREKANI AKONI AMTEMBELEA RAIS WA KENYA UHURU KENYATA

Uhuru Kenyatta"Today, I held a meeting with U.S -based Senegalese musician, Akon, who paid me a courtesy call at State House, Nairobi. Akon affirmed his commitment to light up Kibera and other selected parts of rural Kenya. The initiative is part of his Lighting Africa project that aims to provide electricity to a million households across the continent by the end of the year. It is good to see that discussions on scaling up supply of power to Kenyans that we started during last month’s U.S...

 

10 years ago

Vijimambo

DARAJA LA KISASA KUJENGWA BAHARINI ENEO LA AGHA KHAN HADI BARABARA YA KENYATA

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja la Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius...

 

11 years ago

Michuzi

UHURU KENYATA AFANYA ZIARA YA SIKU MBILI JIJINI ARUSHA,ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Pichani ni Rais wa Kenya ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mmashariki,Uhuru Kenyata akiwa anapanda mti nje ya jengo la ofisi ya makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mapema leo jijini Arusha wakati alipokuwa na ziara ya sikumbili  ya kutembelea makao makuu ya jumuiya hiyo. Pichani ni  Spika wa bunge la Jmuiya ya Afrika Mashariki,Magrethi Ziwa  akiwa na  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani