Kerr wants five new players
Simba are striving to regain their pride after three seasons of pain
TheCitizen
Habari Zinazoendana
5 years ago
Africanews English06 Apr
NBA Players Go Head-to-Head in First-Ever “NBA 2K Players Tournament†on ESPN and ESPN2
10 years ago
Habarileo13 Aug
Kerr asaka mshambuliaji
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr anasaka mshambuliaji kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake. Simba ipo kwenye mchakato wa kufanya usajili kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuanza Septemba 22 mwaka huu.
9 years ago
Habarileo31 Aug
Kerr aanza visingizio
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr amesema kuwa, kufungwa kwa timu yake na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), mabao 2-0 kunatokana na wachezaji sita kutokuwemo katika kikosi hicho.
9 years ago
Habarileo25 Dec
Siiogopi Mwadui - Kerr
KOCHA wa Simba Dylan Kerr amesema haiogopi Mwadui na kwamba wachezaji wake wapo tayari kupambana nayo kesho. Simba kesho itakuwa ugenini kwenye uwanja wa Kambarage Shinyanga kumenyana na Mwadui iliyo chini ya kocha wa zamani wa timu hiyo, Jamhuri Kihwelo, Julio.
10 years ago
TheCitizen06 Aug
New signings impress Kerr
9 years ago
Habarileo22 Sep
Kerr atamba Yanga hawatachomoka
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerry amesema amefurahishwa na matokeo mazuri katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar na kutuma salamu Yanga kuwa anaifahamu hivyo hawatachomoka katika mchezo ujao.
9 years ago
Habarileo14 Dec
Bahati yao Azam -Kerr
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr amesema Azam walikuwa na bahati juzi ndio maana hawakuwafunga. Timu hizo zilicheza mechi ya Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kutoka sare ya mabao 2-2.
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Ni mtihani wa Kerr kwa Azam
MSHAMU NGOJWIKE
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, leo atakuwa na mtihani mgumu wakati timu yake itakapokabiliana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hata hivyo, Kerr mwenyewe ameingiwa na wasiwasi ambapo amesema Azam FC ni timu nzuri, lakini atahakikisha timu yake inapata ushindi kwenye mchezo huo.
Simba imerejea juzi ikitokea Zanzibar ilipoweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na ligi hiyo na jana ilifanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa...
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Yanga yamnyima usingizi Kerr
JUDITH PETER NA ABDUCADO EMMANUEL DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, amesema bado ana wakati mgumu wa kupanga kikosi cha kwanza kutokana na ubora na viwango vya wachezaji wake.
Kerr amekiri kuwa pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani wake Yanga litakalofanyika Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam Jumamosi hii litakuwa na upinzani tofauti na mechi ambazo tayari wamecheza.
Kuelekea mchezo huo wa aina yake, Simba itaingia uwanjani ikiwa imeshinda mechi zake tatu za...