Siiogopi Mwadui - Kerr
KOCHA wa Simba Dylan Kerr amesema haiogopi Mwadui na kwamba wachezaji wake wapo tayari kupambana nayo kesho. Simba kesho itakuwa ugenini kwenye uwanja wa Kambarage Shinyanga kumenyana na Mwadui iliyo chini ya kocha wa zamani wa timu hiyo, Jamhuri Kihwelo, Julio.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV24 Dec
Kerr atetea wachezaji wake kuelekea mchezo na mwadui FC
Kocha wa timu ya Simba ya Dar es Salaam Dyrlan Kerr amesema wachezaji wake wanajitahidi kwa kadri ya uwezo wao kupata matokeo mazuri katika michuano ya ligi kuu ya Vodacom inayoendelea,makosa yanayojitokeza kiwanjani ni ya kimchezo na kwamba atayasahihisha.
Simba Ipo jiji Mwanza ikijiandaaa na mchezo unaofuata dhidi ya Mwadui FC utakaopigwa Jumamosi.
Kifua wazi Kocha wa timu ya Simba ya Dar es Salaam Dyrlan Kerr akiongoza mazoezi ya klabu hiyo kwenye viwanja vya DIT jijini Mwanza...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Costa aishangaa Mwadui
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Ni Mwadui FC au Stand United leo
9 years ago
Habarileo21 Aug
Simba, Mwadui kucheza Dar
SIMBA watacheza mchezo wa kirafiki na Mwadui FC ya Shinyanga Jumatatu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo15 Sep
Julio atamba Mwadui itazinduka
KOCHA Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amezionya timu za Ligi Kuu akizitaka zisiidharau timu yake kwa vile imefungwa mechi ya ufunguzi. Mwadui FC ilifungwa bao 1-0 na Toto African kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza katika ufunguzi wa Ligi Kuu mwishoni mwa wiki iliyopita.
9 years ago
Habarileo28 Oct
Tegete ajipanga kuipaisha Mwadui
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete amesema kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya kuitumikia timu yake mpya ya Mwadui FC, na kuhakikisha inamaliza msimu ikiwa nafasi tatu za juu.
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Mwadui kumjengea Victor Costa
9 years ago
Habarileo10 Sep
Mwadui kutisha Ligi Kuu
TIMU ya Mwadui FC kati ya timu nne zilizopanda msimu huu inapewa nafasi ya kuleta upinzani mkali katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara kutokana na kusajili wachezaji wenye uzoefu.
9 years ago
Habarileo08 Nov
Jabir Aziz alalama matokeo Mwadui
KIUNGO wa Mwadui FC ya Shinyanga, Jabir Aziz, amesema kiwango kinachooneshwa na timu yake kwenye mechi za Ligi Kuu hakiendani na ukubwa wa sifa walizokuwa nazo nje ya uwanja.