Costa aishangaa Mwadui
Siku moja baada ya Mwadui FC kutangaza kumtema Victor Costa ‘Nyumba’, beki huyo wa zamani wa Taifa Stars amesema hana taarifa zozote za kuachwa kwake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Mwadui kumjengea Victor Costa
Baada ya kuunguliwa nyumba yake, beki wa zamani wa Simba, Victor Costa amefarijiwa na klabu yake ya sasa, Mwadui kwa kukubali kumjengea nyumba mpya.
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Ivo aishangaa Yanga
Kipa namba moja wa Simba, Ivo Mapunda amesema kitendo cha watani zao Yanga kuamini ushirikina ndani ya uwanja ipo siku kitawagharimu.
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Filbert Bayi aishangaa Serikali
Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi amesema ripoti ya timu za Tanzania zilizoshiriki michezo ya Jumuiya ya Madola imekwama baada ya Serikali kutaka wanamichezo wote waliokwenda Scotland kuhusishwa wakati itakapowasilishwa kwao.
11 years ago
Mwananchi04 Apr
Jaji Warioba aishangaa Serikali
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema waliokuwa wajumbe wa tume hiyo hawajawahi kudai malipo ya pensheni ya Sh200 milioni kama inavyodaiwa.
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Kocha Komorozine aishangaa Yanga
Kocha wa Komorozine, Yadhuddine Chaanbane amesema amekubali kipigo cha mabao 5-2, lakini anashukuru timu yake kucheza katika kiwango kizuri huku Yanga ikicheza soka la chini kuliko ilivyocheza Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi18 May
MASLAHI: Goran aishangaa Simba kumtosa
>Kocha Goran Kopunovic amesema kiasi cha dola 20,000 pekee ndiyo kimemyima ajira ya kuendelea kuifundisha Simba kwa ajili ya msimu ujao.
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Mjerumani aipa tano Simba, aishangaa Yanga
Kocha Mjerumani aliyebwaga manyanga ya kuinoa Toto Africans, Martin Grelics amesifu aina ya soka ambalo timu ya Simba imekuwa ikicheza, huku akishangazwa na kiwango cha Yanga.
10 years ago
Mwananchi23 Jul
Diamond aishangaa Serikali kwa kutowathamini wasanii
Mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond Platnum, ameeleza kushangazwa kwake na ukimya wa Serikali akisema unaashiria kutotambua tuzo ya kimataifa aliyoipata hivi karibuni kupitia MTV.
10 years ago
Vijimambo28 Oct
Mbatia aishangaa serikali kukosa kipimo cha Ebola
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/James-Mbatia--October28-2014.jpg)
Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, alisema kwa Wizara ya Afya kukiri kwamba vipimo hivyo huchukuliwa na kupelekwa Nairobi kwa ajili ya uchunguzi zaidi ni fedheha kwa taifa ambalo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania