Kerr atetea wachezaji wake kuelekea mchezo na mwadui FC
Kocha wa timu ya Simba ya Dar es Salaam Dyrlan Kerr amesema wachezaji wake wanajitahidi kwa kadri ya uwezo wao kupata matokeo mazuri katika michuano ya ligi kuu ya Vodacom inayoendelea,makosa yanayojitokeza kiwanjani ni ya kimchezo na kwamba atayasahihisha.
Simba Ipo jiji Mwanza ikijiandaaa na mchezo unaofuata dhidi ya Mwadui FC utakaopigwa Jumamosi.
Kifua wazi Kocha wa timu ya Simba ya Dar es Salaam Dyrlan Kerr akiongoza mazoezi ya klabu hiyo kwenye viwanja vya DIT jijini Mwanza...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog15 Nov
Makamu wa Rais awapa moyo wachezaji wa Taifa Stars kuelekea mchezo wa marudiano
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishangilia sambamba na baadhi ya Viongozi bao la kwanza la Taifa Stars lililofungwa na Elias Maguli, katika kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Kuwania kufuzu hatua ya makundi Kombe la dunia dhidi ya Algeria uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 2-2, mabao ya Stars yalifungwa na Elias Maguli na Mbwana Samatta. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais...
9 years ago
Habarileo25 Dec
Siiogopi Mwadui - Kerr
KOCHA wa Simba Dylan Kerr amesema haiogopi Mwadui na kwamba wachezaji wake wapo tayari kupambana nayo kesho. Simba kesho itakuwa ugenini kwenye uwanja wa Kambarage Shinyanga kumenyana na Mwadui iliyo chini ya kocha wa zamani wa timu hiyo, Jamhuri Kihwelo, Julio.
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wachezaji Simba wamtibua Kerr
KOCHA mkuu wa timu ya Simba Dlyan Kerr amesema hajaridhishwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri juzi uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.
10 years ago
GPLWACHEZAJI WA SIMBA JANA WAKIWA MAZOEZINI KUJIANDAA NA MCHEZO WA LEO
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
9 years ago
StarTV23 Nov
Wachezaji wa zamani wa timu za Taifa Bara na Z’bar kucheza mchezo maalum. Â
Wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na wachezaji wa zamani wa timu ya Zanzibar Heroes watacheza mechi ya kirafiki December 09 mwaka huu kwa Lengo la kuhamasisha amani katika visiwani Zanzibar.
Mechi hiyo itapigwa katika Uwanja wa Amani ambapo pande zinazotofautiana kisiasa zitaalikwa ili kuzungumza na wanachama kuwa watulivu kipindi hiki ambapo suluhu inatafutwa.
Wakati huohuo michuano ya kuwania kombe la Challenge inaendelea huko nchini Ethiopia,timu ya Kilimnajaro...
11 years ago
BBCSwahili27 Dec
Wenger atetea matokeo ya vijana wake
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Suala la hofu ya kiusalama kuelekea mchezo wa El Classico jumamosi hii, Serikali yatoa tamko!
Uwanja unaotarajiwa kuchezwa mchezo huo Jumamosi hii!
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Baada ya hofu kuwapata mashabiki wa soka nchini Hispania kuelekea kwa mchezo wa mahasimu wa jadi Real Madrid na Barcelona, El Classico kuwa wanaweza kushambuliwa na magaidi baada ya wiki iliyopita watu wanaodhaniwa kuwa magaidi kuvamia jiji la Paris wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya Ufaransa na Ujerumani serikali ya Hispania imezungumza juu ya hali hiyo.
Kupitia kwa Katibu Wizara ya Nchi na Usalama,...
10 years ago
Habarileo05 Aug
Kocha Kerr ‘alia’ na washambuliaji wake
PAMOJA na kupata ushindi kwenye mechi zote za kirafiki ilizocheza mjini hapa, kocha Mkuu wa Simba, Dlyan Kerr ameendelea ‘kulia’ na safu yake ya ushambuliaji kukosa mabao mengi.