Kerry atakiwa kutoa ushahidi wa Benghazi
Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John kerry amekubali kutoa ushahidi mbele ya bunge la Congress
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/75072000/jpg/_75072001_75070847.jpg)
John Kerry will testify on Benghazi
US Secretary of State John Kerry will testify in front of a House panel about the deadly Benghazi attacks according to a letter obtained by the BBC.
10 years ago
Habarileo25 Feb
Wahimizwa kutoa ushahidi
WANANCHI wametakiwa kutoa ushahidi mahakamani kwa watu wanaofanya vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kama ndiyo njia pekee ya kukomesha matukio hayo.
10 years ago
Mwananchi26 Sep
JK aitwa mahakamani kutoa ushahidi
Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa mashahidi wanaotarajiwa kuitwa na walalamikaji katika shauri dhidi ya nchi za Kenya, Uganda na Rwanda linaloendelea katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ).
11 years ago
BBCSwahili28 Mar
Mawakili wa Pistorius kutoa ushahidi
Oscar Pistorius anatarajiwa kuwa wa kwanza kutoa ushahidi wake katika kesi inayomkabili ya mauaji ya mpenzi wake Reeva Steenkamp
11 years ago
BBCSwahili08 Apr
Pistorius aendelea kutoa Ushahidi wake
Mahakama ya Pretoria imeanza kumsikiza Oscar Pistorius akijitetea katika kesi inayomkabili ya kumpiga risasi Reeva Steenkamp
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
Manusura waanza kutoa Ushahidi Korea K
Wanafunzi walionusurika kifo ferry ilipozama mwezi Aprili Korea Kusini sasa wameanza kutoa ushahidi wao.
11 years ago
BBCSwahili18 Apr
ICC kushurutisha mashahidi kutoa ushahidi
Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC, inawataka mashahidi waliokataa kutoa ushahidi katika kesi dhidi ya naibu rais wa Kenya William Ruto kutoa ushahidi huo.
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
Pistorius:Mashahidi walikataa kutoa ushahidi
Baadhi ya mashahidi katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius, walikataa kutoa ushahidi kwa hofu ya kuonekana hadharani.
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Mashahidi 50 kutoa ushahidi mauaji ya bilionea Msuya
Tukio la mauaji ya mfanyabiashara tajiri wa Mererani, Erasto Msuya litawekwa hadharani wiki ijayo wakati mashahidi 50 wa Jamhuri watakapoanza kutoa ushahidi wao kwa siku tano mfululizo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania