Kesi dhidi ya mawaziri 3 zatupwa Kenya
Mwendesha mashtaka nchini Kenya Keriako Tobiko imeagiza kesi ya ufisadi dhidi ya mawaziri 3 na seneta wa jimbo la Nairobi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
JS Kabylie yashinda kesi dhidi ya Caf
JS Kabylie ya Algeria imeshinda rufaa yake dhidi ya adhabu ya Caf kutoshiriki mashindano ya kandanda barani Afrika
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
Carneiro kuendelea na kesi dhidi ya Chelsea
Daktari wa zamani wa Chelsea Eva Carneiro anapanga kuendeleza na kesi dhidi ya Chelsea na aliyekuwa meneja Jose Mourinho.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OQbVc*b-KB8oz*EFEr0S6s*DGZQz06NIU45jHY*Txq-0ERjGXvEGviQV5nmoYPe31m0FHGWi8-4t1leFVdSOv6pcmAB2mJO5/uhuru.jpg)
KESI DHIDI YA RAIS KENYATTA YAAHIRISHWA
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. MAHAKAMA ya kimataifa ya uhalifu (ICC) imeahirisha kesi dhidi ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta hadi Oktoba 7, mwaka huu. Rais Kenyatta anatuhumiwa kwa makosa ya jinai kufuatia machafuko ya baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 - 2008, madai ambayo ameyakanusha. Mahakama Kuu ya ICC, kupitia mwendesha mashitaka Fatou Bensouda, imekuwa ikiitaka serikali ya Kenya kutoa ushirikiano wa kutosha ili...
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
Kesi dhidi ya rais Kenyatta ni Oktoba
Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC imeahirisha kesi dhidi ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta hadi mwezi Oktoba
9 years ago
BBCSwahili01 Sep
Kesi dhidi ya Ntaganda kuanza Jumatano
Kesi dhidi ya aliyekuwa kiongozi wa waasi DRC, Bonsco Nteganda kuanza kesho katika mahakama ya ICC iliyoko the Haque Jumatano
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Ghana yapoteza kesi dhidi ya marufuku
Ghana imepoteza kesi yake ya rufaa dhidi ya marufuku iliowekewa timu yake kushiriki katika dimba la wachezaji wasiozidi miaka 17
11 years ago
BBCSwahili07 Mar
ICC kuamua kesi dhidi ya Katanga
Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC,itatoa hukumu dhidi ya mbabe wa vita kutoka Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, Germain Katanga.
11 years ago
Habarileo01 Jul
Kesi ya Dk Mahanga dhidi ya Msemakweli yafutwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeifuta kesi ya madai ya kashfa iliyokuwa imefunguliwa na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga dhidi ya Mwanaharakati, Kainerugaba Msemakweli na wenzake.
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Rihanna ashinda kesi dhidi ya Topshop
Rihannaameshinda kesi ya madai dhidi ya duka la mavzi la Topshop juu ya fulana iliyobandikwa sura yake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania