Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KESI YA PISTORIOUS KUENDELEA OKTOBA 21, 2014

Mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius akiwa mahakamani siku ya leo. Aimee Pistorius (katikati) akimuangalia kaka yake, Oscar Pistorius wakati wakili wake Barry Roux's akiendelea kumtetea (hayupo pichani), Kulia wa pili ni shangazi yake, Lois akiwa na mjomba wake Arnold (kulia).…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Pistorious ni leo

Leo Jaji Tokozile Masipa ataanza kusoma maelezo ya mwisho ya kesi ya Oscar Pestorius yatakayachukua siku nne.

 

10 years ago

StarTV

Hatma Kesi ya Pistorious ni leo.

Leo Jaji Tokozile Masipa ataanza kusoma maelezo ya mwisho ya kesi ya Oscar Pestorius yatakayachukua siku nne.

 
Akipitia maelezo ya upande wa mashitaka na upande wa utetezi katika kesi hii ya mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini.

 
Aliepatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia .

 
Mengi yamesemwa na raia wa A-Kusini katika kesi hii kwamba Jaji hakuonesha uadilifu kumpata Oscar Pestorius na hatia ya kuua bila kukusudia badala ya kuua kwa makusudi.

 

BBC

 

10 years ago

Habarileo

Hatima ya kesi ya Lukaza Oktoba 8

HATIMA ya washitakiwa wawili wa kesi ya wizi wa Sh bilioni sita za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), itajulikana Oktoba 8 mwaka huu wakati Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itakapotoa uamuzi kama wana kesi ya kujibu au la.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kesi dhidi ya rais Kenyatta ni Oktoba

Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC imeahirisha kesi dhidi ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta hadi mwezi Oktoba

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya Ekelege kuendelea leo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeiahirisha kesi Mkurugenzi   Mkuu wa zamani wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege hadi leo.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Ponda kuendelea Novemba 27

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha hukumu inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Shehe Issa Ponda hadi Novemba 27 mwaka huu. Hukumu hiyo ilikuwa itolewe jana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Morsi kuendelea Misri

Vikosi vya usalama vimeimarisha ulinzi katika mji mkuu wa Misri, Cairo , kabla ya kufikishwa mahakamani kwa rais aliyeng'olewa madarakani , Mohammed Morsi.

 

9 years ago

StarTV

 Uamuzi kesi wa mita 200  iliyofunguliwa kutolewa Oktoba 23

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam imetoa maelekezo  kuwa Oktoba 23 mwaka huu itatoa Uamuzi dhidi ya Kesi iliyofunguliwa ya Kikatiba kuhusu Tafsiri sahihi ya Umbali anaotakiwa kusimama Mpiga kura baada ya kupiga kura.

Kesi hiyo Namba 37 ya Mwaka 2015 iliyofunguliwa na Amy Kibatala anayeongozwa na Wakili Peter Kibatala, ambaye anataka Tafsiri ya kifungu 104 (1) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu kukaa umbali wa mita mia 200 baada ya kupiga kura

 Kesi hiyo imeanza kuunguruma mapema Wiki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani