Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kesi ya Pistorius yaendelea leo

Kesi ya mauji ya mwanariadha wa Afrika kusini ,Pistorius, inaendelea kusikilizwa leo baada mapumziko ya wiki 6.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Minja leo, makufuli yaendelea

MADUKA mengi ya Kariakoo, Dar es Salaam na baadhi yaliyopo mikoani yameendelewa kufungwa huku wenye maduka wakidai hawatafungua leo wala kesho.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Oscar Pistorius kuanza leo

Kesi dhidi ya bingwa wa mashindano ya Olimpiki kwa wanariadha walemavu kutoka Afrika Kusini, Oscar Pestorius, inaanza leo.

 

9 years ago

Bongo5

Kesi ya kuamua kama Oscar Pistorius ataachiwa huru kusikilizwa leo

Bodi ya parole jijini Johannesburg, Afrika Kusini ilitarajiwa kutoa uamuzi wa kama itamwachia huru Oscar Pistorius kutoka gerezeni Jumatatu hii. Bodi hiyo ilikutana jijini Durban mwezi uliopita lakini iliahirisha kesi yake kwa wiki mbili. Katika kipindi hicho idara ya haki ilisema haikupata muda wa kumaliza kesi ya Pistorius kutokana na kuwa na mambo ya kuyapitia. […]

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA PISTORIUS YAENDELEA

Oscar Pistorius akisikiliza hukumu yake. Jaji Thokozile Masipa akisoma mapitio ya kesi ya Pistorious. MAPITIO ya hukumu ya kesi inayomkabili mwanariadha mlemavu, Oscar Pistorius wa Afrika Kusini ya kumuua mpenzi wake Reeva…

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA OSCAR PISTORIUS YAENDELEA

Oscar Pistorius akiwa amesimama ndani ya mahakama jijini Pretoria baada ya Jaji Thokosile Masipa kuwasili kwa ajili ya kusoma hukumu. Oscar Pistorius  akisikiliza hukumu yake.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Picha za video na kesi ya ya Pistorius

Kesi ya Oscar Pistorius imeanza kusikilizwa tena, huku picha za video zikimuonyesha alivyomuua mpenzi wake

 

10 years ago

BBCSwahili

Nel ampinga Maringa kesi ya Pistorius

Idara ya kurekebisha tabia nchini Afrika Kusini inataka Oscar Pistorius apewe kifungo cha nyumbani badala ya kifungo jela.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kesi dhidi ya Vigogo wa Sudan:K yaendelea

Kesi dhidi ya viongozi 4 wa kisiasa nchini Sudan Kusini ambao wanakabiliwa na mashitaka ya uhaini imeingia siku yake ya pili hii.

 

10 years ago

CloudsFM

Kesi ya mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi yaendelea Iringa

MAHAKAMA kuu kanda ya Iringa inaendelea na vikao vyake huku leo kesi ya ya mauwaji ya mwanahabari mkoani Iringa Daud Mwangosi inayomkabilia mtuhumiwa wa askari wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Iringa (FFU) Pasificus Cleophace Simon mwenye namba G 2573 inataraji kuanza kusikilizwa kwa upande wa mashahidi kuanza kutoa ushahidi wao.

Kesi hiyo inayoanza leo inaanza kusikilizwa leo Feb 12 -18 mwaka huu huenda hukumu ya kesi hiyo kutolewa siku ya tarehe 18 mara baada ya mashahidi kumaliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani