Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi dhidi ya Vigogo wa Sudan:K yaendelea

Kesi dhidi ya viongozi 4 wa kisiasa nchini Sudan Kusini ambao wanakabiliwa na mashitaka ya uhaini imeingia siku yake ya pili hii.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KESI YA VIPIMO VYA HIV FEKI DHIDI YA VIGOGO MSD

Na Sultani Kipingo
UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya inayowakabili watu wanne watano wakiwemo maofisa wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) ya matumizi mabaya ya madaraka na kuingiza nchini vipimo feki vya kupimia virusi vya ukimwi na kuisababishia serikali hasara ya Sh.bilioni 3, umeomba mahakama kuhamia nyumbani kwa mshtakiwa wa kwanza Sylvester Matandiko kwa ajili ya kumsomea mashtaka yake.

Maombi hayo yaliwasilishwa jana na Mwendesha Mashitaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kesi ya vigogo TPA kusikilizwa Desemba


NA FURAHA OMARY
KESI ya matumizi mabaya ya madaraka, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraim Mgawe na Naibu wake, Hamad Koshuma, imepangwa kuanza kusikilizwa Desemba 2, mwaka huu. 
Mgawe na mwenzake, wanadaiwa kutoa zabuni ya upanuzi wa gati namba 13 na 14, katika bandari ya Dar es Salaam, kwa Kampuni ya China Communications Contruction, bila ya kutangaza zabuni. 
Washitakiwa hao walipanda kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi vigogo wa ardhi yapigwa kalenda

KESI ya madai ya kujimilikisha ardhi kinyume na sheria inayowakabili maofisa watatu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imeahirishwa hadi Agosti 14, mwaka huu. Jaji wa Mahakama...

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru mashahidi 15 kesi ya vigogo MSD

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inatarajia kuwa na mashahidi 15 na vielelezo 12 katika kesi ya kuingiza vipimo bandia vya Virusi vya Ukimwi (HIV) inayowakabili vigogo wa Bohari ya Dawa (MSD) na wenzao.

 

9 years ago

Mwananchi

Vigogo wa TRA kesi ya makontena nje

Hatimaye vigogo watatu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) wanaokabiliwa na kesi ya uhujujmu uchumi kutokana na sakata la upotevu wa makotena 329 kutoka bandari kavu ya Azam, wamerejea uraiani baada ya kuachiwa kwa dhamana.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya vigogo Suma JKT yanguruma

MEJA Jenerali, Dk Adam Mwamulange ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT), lilipewa jukumu la kununua vifaa vya Kampuni ya Takopa kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Msata hadi Bagamoyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vigogo wa kisiasa mahakamani Sudan:K

Kesi imeanza nchini Sudan Kusini ya vigogo wanne wa kisiasa wanaotuhumiwa kwa uhaini na njama ya kumwondoa mamlakani Rais Salva Kiir

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto wa vigogo BoT wana kesi ya kujibu

>Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaona wafanyakazi wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wanaokabiliwa na tuhuma za kughushi vyeti na kutoa hati za uongo wana kesi ya kujibu.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Vigogo wa Suma-JKT wana kesi ya kujibu’

Vigogo saba wa Suma-JKT wanaokabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wamepatikana kuwa na kesi ya kujibu na kutakiwa kuanza kutoa ushahidi wao wa utetea Machi 11 na 14 mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani