Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya wafanyakazi 14 benki ya Exim yasuasua

KESI inayowakabili wafanyakazi 14 wa benki ya Exim tawi la jijini Arusha kwa tuhuma za kuibia benki hiyo zaidi ya Sh bilioni 7.6, inaendelea kusuasua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa kupinga ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani.

 Katibu mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na masuala ya maendeleo ya jamii (CODERT), Hellen Kayanza akifafanua jambo wakati wa shughuli iliyoandaliwa na Benki ya Exim jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambayo husherehekewa Machi 8 kila mwaka. 
Wakati wa shughuli hiyo wafanyakazi wa kike wa benki hiyo walitoa wito kwa wanawake nchini kutumia maadhimisho ya mwaka huu kutokomeza ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani. ...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim Bank Mastercard'

 Benki ya Exim Tanzania hii leo imetangaza washindi watano wa mwezi katika kampeni yake ya 'Chanja Kijanja na Exim Mastercard'. Kampeni hiyo inalenga kuhamasisha wateja wa benki ya Exim kutumia kadi zao za Mastercard katika manunuzi ya mtandaoni au kufanya malipo kupitia mashine za malipo (POS) katika maduka mbalimbali na maeneo mengine nchini.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwatangaza washindi wa droo ya kwanza  wa kampeni hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam,...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA EXIM SHINYANGA WASAFISHA SOKO KUU

 Wafanyakazi wa Benki ya…

 

11 years ago

Mwananchi

Exim: Wekeni fedha benki

>Benki ya Exim Tanzania imewashauri wananchi kutumia huduma za fedha za kibenki kwa ajili ya usalama na maendeleo yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Benki ya Exim yafungua tawi

Benki ya Exim imezindua tawi mkoani Arusha kwa ajili ya huduma kwa wateja wakubwa ndani ya mkoa huo na maeneo ya jirani.

 

11 years ago

Mwananchi

Benki ya Exim yajipanga kufikia malengo 2016

Benki ya Exim Tanzania imeanza utekelezaji wa dira ya mwaka 2016 inayolenga kuongeza mapato na amana katika soko ifikapo mwaka huo.

 

10 years ago

Mtanzania

Benki ya Exim yaaadhimisha siku ya damu duniani

Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
WAFANYAKAZI wa Benki ya Exim Tanzania, wameadhimisha siku ya kuchangia damu duniani.
Kutokana na uzito wa siku hiyo, mwishoni mwa wiki walijitokeza makao makuu ya benki ya damu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku hiyo, kama njia ya kutambua umuhimu wa hitaji hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati zoezi hilo likiendelea, Mkuu wa Kitengo cha rasilimali watu wa benki hiyo, Frederick Kanga, alisema hatua hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

FAIDA BENKI YA EXIM YAKUA KWA ASILIMIA 69

 Afisa Mkuu wa Fedha wa benki ya Exim Tanzania Bw. Selemani Ponda (katikati)akisisitiza jambo  mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana wakati akitoa taarifa ya mapato ya benki hiyo katika kipindi cha robo mwaka kilichoisha mwezi Juni mwaka huu. Wengine ni Naibu Afisa Mkuu wa Fedha wa benki hiyo Bw. Issa Hamisi (wa kwanza kushoto) na Meneja Mwanadamizi wa utafiti na uchambuzi wa biashara wa benki hiyo Bw. Joseph Mrawa (wa kwanza  kulia)Afisa Mkuu wa Fedha wa benki ya Exim...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YATOA MSAADA WA MADAWATI SHINYANGA.

 Meneja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Shinyanga  Bw. Emmanuel Nkelebe akijiandaa kukata utepe ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa madawati 50 kwa shule ya msingi Mapinduzi ‘A’ iliyopo Manispaa ya Shinyanga, ikiwa ni muendelezo wa mpango wa benki hiyo katika kuboresha ubora wa elimu hapa nchini. Wanaoshuhudia ni pamoja na Mwenyeki wa Bodi ya shule hiyo Bw. Sylvester senga (wa tatu kulia) na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.Meneja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Shinyanga  Bw....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani