Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KHADJA: NILIYEZAA NAYE, SITAKI HATA KUMSIKIA

LEO kupitia safu hii tunaye staa wa muziki wa kizazi kipya, Khadija Maige ‘Khadja’. Naye kama kawaida alibanwa na Mwandishi Wetu Shani Ramadhani kwa maswali 10 na bila hiyana alitoa ushirikiano katika kuyajibu.
Unajua aliulizwa nini na akajibu vipi? Ungana nami hapa chini. Staa wa muziki wa kizazi kipya, Khadija Maige ‘Khadja’. Ijumaa: Changamoto zipi unazozipata kupitia kazi yako ya muziki?
Khadja:...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

PENNY: SITAKI KUMSIKIA DIAMOND

Stori: Gladness Mallya
ZILIPENDWA wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’,  amefunguka kuwa hataki kumsikia mpenzi wake huyo wa zamani kwa madai kuwa amefungua ukurasa mpya wa uhusiano na mtu ambaye hata hivyo hakuwa tayari kumweka wazi. Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’. Penny alisema hayo hivi karibuni jijini Dar wakati akizungumza na...

 

9 years ago

Raia Mwema

Hata Lowassa naye?

JUMAMOSI iliyopita, Edward Lowassa, aliwakuna Wazanzibari.

Ahmed Rajab

 

11 years ago

GPL

HATA KAMA YUKO MBALI, UNAWEZA KUWA KARIBU NAYE! - 3

TUNAENDELEA kujifunza mbinu za kumsogeza mwenzi wako karibu. Tumeshaona mengi katika matoleo yaliyopita. Rafiki zangu, wakati mwingine majukumu ya kikazi husababisha wenzi au wanandoa wakaa mbalimbali. Jambo hilo huwa changamoto kubwa sana kwa wengi, hushindwa kujua namna ya kuboresha uhusiano wao ili waweze kuendelea kuwa na uhusiano wenye nguvu. Katika matoleo yaliyopita tuliona jinsi mwanamke anavyoweza kufanya kwa mwanaume...

 

11 years ago

GPL

HATA KAMA YUKO MBALI, UNAWEZA KUWA KARIBU NAYE! - 2

UMBALI katika uhusiano, mara nyingi husababisha hofu. Fikra za usaliti hutawala sana kwa wenzi wanaoishi mbali. Lakini vipi, mwenzako asisafiri au asiishi mbali kwa kuhofia hayo wakati kitendo hicho kinasababishwa na jukumu la kikazi? Ndugu zangu, baadhi yetu, kama hatutakuwa makini, umbali huweza kuchochea usaliti. Lakini kuna njia ambazo zikitumika kwa usahihi, husaidia kuliweka penzi hai na kuzidi kuwa na mshawasha mkubwa....

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KISHERIA MATUNZO KWA MWANAMKE HUENDELEA KUTOLEWA HATA BAADA YA KUTENGANA NAYE

Na  Bashir  Yakub.Suala   la  matunzo  haliishi  tu kwa  mtoto/ watoto.  Wengi  wa  wanaume wamekuwa  wakipendelea  kuwajibika  kwa  kutoa  matunzo  ya  watoto  na  kumuacha  mwanamke.  Jambo  hili  si  sawa  na  halikubaliki  kisheria. Ni  vema  kufahamu    kuwa  suala  la matunzo  kwa  mwanamke  limegawanyika   mara  nne.  Kwanza   kuna  matunzo  kipindi  ambacho  ni  cha  ndoa  ambapo  hakuna  mgogoro  wowote  baina  ya  wanandoa. Pili  kuna  matunzo  kwa  mwanamke  kipindi  ambacho...

 

10 years ago

GPL

KHADJA NITO AFUNGUKIA MAPENZI

Musa Mateja
MREMBO anayesumbua katika Bongo Fleva na singo yake ya  Maumivu, Khadija Maige ‘Khadja Nito’, juzikati alianika kuwa kama kuna kitu kinamvutia, basi ni kufanya mapenzi kila siku maana ndiyo starehe pekee anayoifurahia. MREMBO anayesumbua katika Bongo Fleva na singo yake ya  Maumivu, Khadija Maige ‘Khadja Nito’ Akizungumza na gazeti hili ofisini Bamaga Mwenge jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mangula: Hata mkiandamana bure, Katiba haitabadilishwa hata nukta

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema Katiba Inayopendekezwa imebeba mambo yote muhimu na hata kama yakifanyika maandamano nchi nzima haitabadilishwa hata nukta.

 

11 years ago

Michuzi

SALMA MSANGI: KULIKO UNAVYOMJUA NA ULIVYOWAHI KUMSIKIA [INTERVIEW]

Maisha ni safari ya aina yake. Ndani ya safari moja, zipo nyingine nyingi. Pengine ukweli huo ndio chanzo cha ule usemi kwamba safari moja huanzisha nyingine. Kilicho muhimu ni kwanza kuianza safari yenyewe[moja].
Ninachokiongelea hapo juu kina ukweli zaidi katika maisha ya Salma Msangi ambaye leo kwa wengi ni mtangazaji wa luninga na radio mwenye tabasamu zito, wepesi wa kuelewa mazingira na mwenye kuipenda kazi yake na kuwapenda mashabiki,watazamaji wa vipindi vyake vya kwenye luninga...

 

10 years ago

Michuzi

Khadja Kopa, Bilal Mashauzi kuwasha moto USIKU WA KHANGA PARTY NOV 29

Na Andrew Chale
ASIA Idarous Khamsin na Safari  Carnival  wanakuletea usiku wa Khanga Party na Spice Modern Taarab watakaowasha moto wa burudani sambamba na gwiji wa mipasho nchini Khadija Kopa pamoja na Bilal Mashauzi,  Jumamosi ya usiku wa Novemba 29, ndan ya ukumbi wa Safari Carnival, Mikocheni B.
Kwa mujibu wa  mmoja wa wandaaji wa usiku huo, Asia Idarous Khamsin,  amesema tayari maandalizi yake yamekamilika na amewasihi wadau kujitokeza kwa wingi katika onesho hilo la aina yake  kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani