KHEDIRA AENDA JUVENTUS
![](http://1.bp.blogspot.com/-WDhzyqPnxjU/VXeF-v0qaCI/AAAAAAADq7M/MNSROoUVQkc/s72-c/sami-khedira-real-madrid-football_3231235.jpg.pagespeed.ce.DB_rMCIhNS.jpg)
Khedira aenda Juventus
Chelsea na Higuain Bilic kocha mpya West HamAlves abaki Barcelona, Carver ‘out’ NewcastleMabingwa wa Italia, Juventus wamemsajili kiungo mahiri wa Real Madrid na Ujerumani, Sami Khedira ambaye ni mchezaji huru.Khedira (28) alipata kuhusishwa na Arsenal na Chelsea misimu miwili iliyopita, lakini imeelekea kwamba klabu hizo za London hazikumhitaji tena. Manchester United nao walihusishwa naye.
Yawezekana pia kwamba zimezidiwa kete na Wataliano waliofika fainali ya Klabu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Ancelotti: Mwacheni, Khedira hauzwi
10 years ago
BBCSwahili04 Aug
Sami Khedira nje miezi miwili
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73466000/jpg/_73466895_73466770.jpg)
Juventus 1-0 Fiorentina
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81435000/jpg/_81435068_mariogomezmohamedsalah.jpg)
Juventus 1-2 Fiorentina
10 years ago
BBCSwahili07 Jun
Barcelona waishinda Juventus 3-1
5 years ago
Black &Amp; White &Amp; Read All Over25 Feb
How should Juventus line up against Lyon?
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Blatter aenda mahakamani
10 years ago
BBCSwahili14 May
Juventus yaiangusha Real Madrid
10 years ago
BBCSwahili06 Jun
Fainali:Barcelona kumenyana na Juventus